Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Hapana mkuu....Wewe umewowa na una familia bora😌
Mimi ni jobless ndio maana asubuhi yote hii nipo hapa jf..😑
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu....Wewe umewowa na una familia bora😌
Yani na akitaka asile mwaka mzima, mwanaume wa kususa si nyota yangu na hiyo tabia wanayo wengi tu, 🤣🤣🤣Ewaaa..mwanamme gani anasusia chakula? Yaani anapikiwa msosi kwa upendo wote halafu anasusa? Alale na njaa yake 🤣
Ngoja nini tena? JimwageEm ngoja kwanza🥴
😂 kwendaaaaaaMimi sipiki kabisa,,kwaio waroho ngoja waje
Tayari mbona 😉Ngoja nini tena? Jimwage
Hizi ni comments zilizoshibaMwanaume akiwa anahasira huwa anakuwa na nguvu Sana plus pumzi
Mi binafsi ndo namtumia hapo anile kwanza ndo ale chakula
🤣🤣🤣😘✌️Hizi ni comments zilizoshiba
Ukimvuruga huo upendo unatoka wapi? maana halisi ya upendo ni kuhakikisha haumvurugi, kumfanya awe na amani hapo utakuwa unampenda, unamfanyia visa halafu .....Ewaaa..mwanamme gani anasusia chakula? Yaani anapikiwa msosi kwa upendo wote halafu anasusa? Alale na njaa yake 🤣
Bila kujilipua siku moja moja utajuaje kama yaliyokuwemo bado yamo? 😃😃😃Ukimvuruga huo upendo unatoka wapi? maana halisi ya upendo ni kuhakikisha haumvurugi, kumfanya awe na amani hapo utakuwa unampenda, unamfanyia visa halafu .....
Wanaume hatununiwi unajitesa bureMimi sipiki kabisa,,kwaio waroho ngoja waje
Ukiona mwanamke anapenda ugomviugomvi na hataki kusolve matatizo mara moja fahamu ya kua hupendwi, mwanamke anaekupenda ni vigumu kukupoteza kwa namna yoyote ileHapa ni nyuma ya key bord mkuu.
Kiuhalisia....
Kila mwanamke anaempenda mwanaume wake, atafanya kila awezalo ili kumaliza ugomvi wa ndani...😊
usiwe unatikisa kiberitiBila kujilipua siku moja moja utajuaje kama yaliyokuwemo bado yamo? 😃😃😃
onhoo sawa sawaWanaume hatununiwi unajitesa bure
Kadanganye walevi 😌Hapana mkuu....
Mimi ni jobless ndio maana asubuhi yote hii nipo hapa jf..😑