Wanawake bhana! Nilimkopesha 30k, kuomba anirudishie kanigeuza adui

dunia ya sasa usikopeshe mtu labda kama unataka asiwepo tena kwenye maisha yako kwan ukiombwa hela huwez sema sina au kisa mwanamke unataka umpe ili usionekane maskini. wengi mi mafala hela ushasema unamalengo nayo alaf unamkopesha mtu kutokujielewa ndo maana mnasema matajiri wabahili ila tajiri hana ratiba za kukopesha annachojua ni kumake hela kwa juhudi na kuspend less
 
Kweli kabisa hawa viumbe ukiwapa pesa yako ni kuwatomber tuu hamna namna
 
="Consultant, post: 43780961, member: 11015"”

Ni bora nimchangie mtu kiasi kidogo kama nimeguswa na shida yake ili atafute fedha nyingine kwingine kuliko kutoa mkopo na kupata stres za kudaiana zaidi ya mwaka mzima.......



Umetoa muongozo mzuri.
 
Yes
 
Akili fupi mno. Huyo jibu lake ni “sina pesa kwa sasa, sorry”

Huna sababu kupoteza nguvu na muda wako kumkumbusha yaliyotokea huko nyuma
 
Kimasihara on the process
Ndio ivyo, hiyo lugha nyepesi kabisa ya mwanamke kwa mwanaume.. Kuna siku dada mmoja ni bank teller mahala, aliniomba nimkopeshe elfu 10 atairudisha. Nilimtumia kwani alirudisha na kila aiku tuna chart nako kanacheka cheka nakatazama tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…