Wanawake eti hizi ndio njia wanazotumia kumkataa mwanaume

Teh, eti we sio type yangu, halafu wapo wavulana wanaosemaga hivyo, nakupenda ila najua we sio type yangu, sasa umenipendajeee
 
Mtu yeyote akiwaelewa wanawake ajue ameshafikia kiwango cha juu kabisa cha UKICHAA....
 
Hahahaaaa !! Wanaume wafupi kuliko mm huwa nawaambiaga sasa tukizaa watoto si watakuwa km vidumu au vindoo kidogo !!
 
Reactions: arl
Tunawalaumu tuu hawa dada zetu, ukikataliwa kubali na heshimu, ukilazimisha ujue ni lazima kupangwa kwenye list ndefu, mwanamke ana idadi nzuri tuu ya watu wanaomtongoza kila wiki, so ukisema ampe kila mtu si itakua balaa
Sasa si bora aseme ukweli kuliko kuanza kudanganyana
 
Mwingine atakwambia nina mtu wangu yupo Mlimani City University
Hhaahah... Alafu mademu wengi wa uswazi ukiwadanganya unasoma chuo sijui wanakuchukuliaje? Unaeza ukapiga siku hiyo hiyo ujue
 
Nnachopendea ni pale wanapoangukia pua.
Wanafall kwa waigizaji.
 
[emoji13][emoji13] yaani yaani...
 
Mademu wa kiafrika hatakama mumempenda mtu, mtaanza kumzungusha weee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…