Wanawake eti hizi ndio njia wanazotumia kumkataa mwanaume

Wanawake eti hizi ndio njia wanazotumia kumkataa mwanaume

Teh, eti we sio type yangu, halafu wapo wavulana wanaosemaga hivyo, nakupenda ila najua we sio type yangu, sasa umenipendajeee
 
Mtu yeyote akiwaelewa wanawake ajue ameshafikia kiwango cha juu kabisa cha UKICHAA....
 
Hahahaaaa !! Wanaume wafupi kuliko mm huwa nawaambiaga sasa tukizaa watoto si watakuwa km vidumu au vindoo kidogo !!
 
  • Thanks
Reactions: arl
Tunawalaumu tuu hawa dada zetu, ukikataliwa kubali na heshimu, ukilazimisha ujue ni lazima kupangwa kwenye list ndefu, mwanamke ana idadi nzuri tuu ya watu wanaomtongoza kila wiki, so ukisema ampe kila mtu si itakua balaa
Sasa si bora aseme ukweli kuliko kuanza kudanganyana
 
Mwingine atakwambia nina mtu wangu yupo Mlimani City University
Hhaahah... Alafu mademu wengi wa uswazi ukiwadanganya unasoma chuo sijui wanakuchukuliaje? Unaeza ukapiga siku hiyo hiyo ujue
 
Nnachopendea ni pale wanapoangukia pua.
Wanafall kwa waigizaji.
 
Mapenzi ni hisia, Siwez kubali kila anayekuja et kwa sababu tu umekuja.
Kama sijakupenda ntakwambia, na kama nina mpenzi tayari bas ntakwambia.

Siwez juta eti nimechezea bahati kisa una pesa, moyo ndo unapenda, sio macho. Ukikataliwa, take it easy sababu huyo sio wako, tafuta wako na hatakukataa.
[emoji13][emoji13] yaani yaani...
 
Mapenzi ni hisia, Siwez kubali kila anayekuja et kwa sababu tu umekuja.
Kama sijakupenda ntakwambia, na kama nina mpenzi tayari bas ntakwambia.

Siwez juta eti nimechezea bahati kisa una pesa, moyo ndo unapenda, sio macho. Ukikataliwa, take it easy sababu huyo sio wako, tafuta wako na hatakukataa.
Mademu wa kiafrika hatakama mumempenda mtu, mtaanza kumzungusha weee
 
Back
Top Bottom