Wanawake, hakikisheni kuwa sababu zenu za kumkataa mtu ni za msingi na za maana

Ushauri wangu jikite jukwaa la SIASA mkuu maana inaonekana mapenzi yalikufanya vibaya
Mkuu, katika maisha ya mwanaume kijana kamili anayetongoza kuna kukubaliwa, kukataliwa, kuachwa, kuacha, kusalitiwa, kusaliti, kutakwa na X, kutakwa na aliyekukataa, n.k n.k Haya ni maisha ya mwanaume yoyote, Hakuna la ajabu la kukuliza liza.
 
Sa si muache kuwekeza kwenye pesa? Mnaongea as if mmelazimishwa kuwekeza kwenye pesa, wale wanawake walioliwa na Baltazar wengi wao hawakuwa na shida ya pesa.
Kwanini ukubali kulizwa kizembezembe?
 
Huend
Sasa jamaa yako kwanini alikuwa anavumilia sura mbaya? Alikuwa ananufaika nini na mwanamke mwenye sura mbaya, au alilazimishwa?
Huenda bodi bovu lakini mashine ni hatari... Kijana kapagawa na mashine
 
Weka tinted Kama haumjui, ni mihemko tu huwa inawasumbua
 
Mkuu, mwanaume kazi yake ni kuchakata na kutunza matokeo ya uchakataji yaani hao watoto.

Mambo ya kupenda penda ndo yanayoleta matokeo ya kipuuzi si kuoa bikra wala kuwa na mjane.

Nimebahatika kuishi na jamii za kimasai. Kule wanaume wa kimasai hawana mambo ya kupendana pendana kama vijana wa mbezi na kinondoni, hawajali una bikra au umekeketwa, una watoto au huna, unachakatwa na kupewa mimba na punda zako.

Kosa wanalofanya ni moja tu, wanamwachia mwanamke jukumu lote la kutunza watoto lakini mengine yoote wanafanya kama nature inavyotaka na wanaume wanafurahia kuwa wanaume, wao na ng'ombe zao na kuchakata na kuwinda.
 
Dating pool is like a jungle, hakuna atakaekuonea huruma ni survival of the fittest. Selfish and hypergamy nature ya mwanamke inajulikana kwaiyo mwanaume ukiwekeza hisia au pesa huo ni ujinga wako kwa sababu akitokea mwanaume mwingine akamuwekea kubunda mezani mwanamke wako hatokumbuka investments na sacrifices zako kwake.

Usijitoe, usiwekeze, jipe kipaumbele wewe mwenyewe. Usitengeneze commitment kwenye mahusiano wakati unajitafuta. Demu akitaka kwenda mwache aande, na wewe kipindi chako kikifika fanya vulugu ipasavyo usimuonee huruma binti wa mtu. Ukishakichafua sana hapo dating pool sasa unataka kutulia then go for a young, fresh and innocent woman

Stay sharp men, relationship are not what they used to be, the game has changed. Know what you are getting in, rise your standards and never settle for less.
 
Mwanaume hata ukipenda hakuna tatizo ishu ni kupenda kwa logic na kucontrol hisia zako hapo ndipo masimp wanashindwa na kutudhalilisha wanaume wote.
 
Sasa jamaa yako kwanini alikuwa anavumilia sura mbaya? Alikuwa ananufaika nini na mwanamke mwenye sura mbaya, au alilazimishwa?
Sura mbaya inaponya roho.

Halafu wanawake wenye MASURA MABAYA huwa wana MBUNYE TAMU mno kama SUKARI GURU.

Unakuta LIMBUNYE LA MOTO linanata sana, unakula mpaka unasema asante wewe dada mwenye SURA MBAYA.

Cc: min -me raraa reree Half american Extrovert Mbaga Jr Poor Brain Mzee wa kupambania ChoiceVariable Lucas Mwashambwa Tlaatlaah Kalpana Lamomy cocastic Kapeace
 
Sa si muache kuwekeza kwenye pesa? Mnaongea as if mmelazimishwa kuwekeza kwenye pesa, wale wanawake walioliwa na Baltazar wengi wao hawakuwa na shida ya pesa.
Kwanini ukubaki kulizwa kizembezembe?
Bado jamii kubwa ya wanaume inaamini mwanaume anawajibika kujitoa kwa mwanamke kwa kila hali, hawa hawajui kama kanuni za mchezo zimebadilika. Kaka zao tupo hapa kuwasanua. Taratibu watabadilika.
 
Mwanaume hata ukipenda hakuna tatizo ishu ni kupenda kwa logic na kucontrol hisia zako hapo ndipo masimp wanashindwa na kutudhalilisha wanaume wote.
Kabisa mkuu. Unalia lia utadhani wewe ndo upo kwenye risk ya kubebeshwa mimba na kukimbiwa.
 
Ke wote ni opportunists, Pimbi yeyote akihusisha ujumbe huu na Ndugu zangu Ke ni sawa tu maana hata hivyo nao si Me.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Mkuu, katika maisha ya mwanaume kijana kamili anayetongoza kuna kukubaliwa, kukataliwa, kuachwa, kuacha, kusalitiwa, kusaliti, kutakwa na X, kutakwa na aliyekukataa, n.k n.k Haya ni maisha ya mwanaume yoyote, Hakuna la ajabu la kukuliza liza.
Huwezi zoea maumivu acha kudanganya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…