hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Daah [emoji28][emoji28]Kwan na yeye si alikuwa anakupa [emoji23]baba wa kambo una hasira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah [emoji28][emoji28]Kwan na yeye si alikuwa anakupa [emoji23]baba wa kambo una hasira
🤣🤣🤣Mimi hata wkt napiga show huwa najikuta nawaza mambo mengine ya msingi kama mtu anaekunywa kahawa kijiweni...kiuhalisia hyo mambo si kipaumbele tena kwangu ....nafanya tu kujiburudisha....hii ni kutokana na na huu utapel unaofanywa na hawa wenzetu wa upande wa pili
Na Wanawake wanasema,Keyword
Usitongoze mwanamke akiwa ktk matatizo, Matatizo yake ya kiisha ana kusahau
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakunaIvi kuna mwanamme ambaye hajawah kuingia anga za hawa wafwazikwaji akapigwa za macho kweli???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ha ha ha ....Tukiwaambiaga hawa masingle maza ni wakutomber tuu mnatuona sie wabaya.
Mwanamke alimshindwa mwanaume mwenzio huyo kashindikana wala usijidanganye kuwa wee una akili kuliko mwenzio
Yuko black and white [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ha ha ha ....
wee jamaa comment zko huwa Ni ngumu ngumu mno[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wanajifanya wanajua kupendaTukiwaambiaga hawa masingle maza ni wakutomber tuu mnatuona sie wabaya.
Mwanamke alimshindwa mwanaume mwenzio huyo kashindikana wala usijidanganye kuwa wee una akili kuliko mwenzio
Kama ni matatizo ya kipesa huo ni umasikini na njia ya kuukwepa umasikini is to work hard and pray hardUsimiliki mwanamke anaekuzidi Matatizo
HahhaDaah [emoji28][emoji28]
Hii kweli kabisaKeyword
Usitongoze mwanamke akiwa ktk matatizo, Matatizo yake ya kiisha ana kusahau
🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakuna
Ila uzito /ukubwa na udogo wa matukio unatofautiana
Kuna wengine wapigwa na matukio mazito aisee mpaka mtu unabaki kunywa wazi ,
Mfano Mimi siwezi kusema kuwa nimepigwa na matukini Bali tumepigana , Nilikuwa na desturi nikiona manzi wangu ni mapepe na Mimi naanza umapepe Kwa kwenda mbele ni drama tu kila kukicha
Ila baada ya kuwa mature Niko makini mnoo nikiona red flag tu natumia mbio nyingi sana , Mimi ni type ya watu ambao nikikupigia simu usipo respond siku nzima basi hapo tayari najiongeza kuingia kwenye break up
Oh yeah?M
Maneno mengi sikwasababu hutaki kusoma😂😂😂😂. Ndio ninapoendelea kusema mtanzania yupo tatari kuchukua kitu superficial ili akimbiye kuwaza au kufikiri. Halafu ukaamua wewe kama wewe kuwa wanaume wote wanaakili kama zako😂😂😂. Mengine, waza uwazavyo, akili ni nywele kila mtu anazake.
Hahahahaa hapo kwenye kufwafwanzika....Kamwene mkuuUnakutana na mwanamke amefwafwanzika hakuna anayemtamani na kitoto chake chenye utapiamlo.
Unamchukua mnaanza kufanya maisha, anaanza kupendeza na kuvutia wengine, baadaye anaamua kukusaliti kabisa na kuanza kukuona si chochote.
Mbaya zaidi mwishoni unapewa jibu la "fanya mambo yako"
Kweli nimeamini usitongoze mwanamke akiwa kwenye matatizo, matatizo yake yakiisha lazima akusahau.
Eti mbangaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbanga zinaendelea.
Ww jamaa bwana[emoji23],utamfanya jamaa akajitundike kwa mawazo,huyu hapa alipo anahitaji farajaWewe kumbe unaoa mtu "kumsaidia" kumbe infact ni wewe umeona ana shida ili umpate kirahisi utimize your selfish reasons of holding someone?
Guess what,na yeye ana akili,alikua hakupendi since day one,sema kwavile ana shida akaona akubali ili akikaa sawa aweze kufata anachokipenda
Wa kulaumiwa ni wewe unaejifanya ku capitalize kwenye matatizo ili uweze kutimiza nia zako....
Eti "nimemsaidia"..hapana,ni "umejisaidia" wewe binafsi,uzuri muda umefika wa hiyo kujisaidia kwa kutumia matatizo ya watu umefika mwisho maana yale matatizo yameisha hakuna cha kuchukulia tena
Wewe ungeoa mwanamke alie kamili asie na hizo shida unazojifanya ku capitalize ili baadae uanze kusema maneno ya hovyo hivi "nilimsaidia leo kanisaliti"
Nani kakwambia "usaidie" watu ili uwaoe?
Watu wanaoa kwa "kumpenda" muhusika bila kuwepo na vigezo vya shida na blah blah
Haikua ndoa ,ilikua ni financial /business proposition na kulikua hakuna love from the start,ilikua ni financial institution lending to an individual kwa kigezo cha kuoa kumbe ni wrong reason and lies among yourselves.
Now wewe unajipa high priest status,kumbe ni hovyo kama mwenzako,wakati mnajua kabisa mlikula njama tangu mwanzo wote wawili
Unaishi kwa tahadhari mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakuna
Ila uzito /ukubwa na udogo wa matukio unatofautiana
Kuna wengine wapigwa na matukio mazito aisee mpaka mtu unabaki kijynywa wazi ,
Mfano Mimi siwezi kusema kuwa nimepigwa na matukio Bali tumepigana , Nilikuwa na desturi nikiona manzi wangu ni mapepe na Mimi naanza umapepe Kwa kwenda mbele ni drama tu kila kukicha
Ila baada ya kuwa mature Niko makini mnoo nikiona red flag tu natumia mbio nyingi sana , Mimi ni type ya watu ambao nikikupigia simu usipo respond siku nzima basi hapo tayari najiongeza kuingia kwenye break up
All unitsUnakutana na mwanamke amefwafwanzika hakuna anayemtamani na kitoto chake chenye utapiamlo.
Unamchukua mnaanza kufanya maisha, anaanza kupendeza na kuvutia wengine, baadaye anaamua kukusaliti kabisa na kuanza kukuona si chochote.
Mbaya zaidi mwishoni unapewa jibu la "fanya mambo yako"
Kweli nimeamini usitongoze mwanamke akiwa kwenye matatizo, matatizo yake yakiisha lazima akusahau.