The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Peace be with you all,
Weekend ya majuzi nilikua kiwanja flani ndani ya kitovu cha mji wa utalii Tanzania, nikiwa peke yangu katika kujipumzisha mwisho wa week. Ndani ya lounge ya hotel hii kilitokea kihoja kilichowastaajabisha wengi pale hotelini ila mimi sikushangaa maana nawajua wanamake na hulka zao mbovu, akili kisoda na tank la unafiki.
Straight twende kwa kilichojiri, shall we ?!
Wakati kila kitu kipo shwari watu wakienjoy vyakula murua na vinywaji kila mtu akiwa na muda mzuri, taratibu mlango wa kuingia lounge ulifunguliwa na kijana wa kama 32 of age huku mikononi kashikilia vitu vingi vingi sikutambua kwa mara moja ni vitu gani. Kisha akaingia na akabaki kashikilia mlango huku mwanadada akiingia kwa madaha peruvian hair refu mpaka kiunoni, kijisketi kifupi mkononi kashika simu.
Kwa kuwatazama tu ungejua mara moja ni wapenzi, wakatembea kuelekea meza ya karibu kabisa na nilipokua The unpaid Seller mwanaume akatua mizigo akamuita muhududu akawa anazungumza nae mda huo mwanadada ameshakaa anaperuz simu yake.
Wakaletewa vyakula na vinywaji pale na kila kitu kilionekana kwenda sawa bin sawia. Baada ya kama dk 5 hivi yule mwanadada akasimama na kuanza kumfokea yule jamaa ambae sauti yake ilikua ya chini kama anasema jambo fulani (nadhani alikua anamshi mwanadada atulie).
Lakini mwanadada aliendelea kufoka akitupa mikono huku na huko akitikisa kichwa na kuzirusha nywele kulia na kushoto akizitoa usoni zisimkinge.
Watu wote wakageukia upande ule ila mwanadada aliendeleza saga hilo kwa mda kama dk 10 ghafla jamaa akasimama na kuchukua funguo ya gari pale mezani na kuondoa huku akiacha kila mzigo pale mezani, akaelekea moja kwa moja mlango wa kutoka lounge akaufungua na kutoka.
Sekunde chache Nissan Extrail ikawa inatoka eneo la parking na kuondoka kwa mwendo wa kasi, nyuma mwanadada alibaki kaganda pale kama kaduaa flani hivi asijue la kufanya akaanza kubonyeza bonyeza simu kisha akasikiliza kwa muda (nadhani alikua anapiga simu ambayo huenda haikupokelewa) baada ya kuona watu wanamtazama sana akakaa na kuanza kuchambua chambua ile mizingo pale akachukua mkoba wake na akainuka na kuondoka.
Unaweza kutafakari tukio hilo kwa angles tofauti ila hebu tazama kwa angle hii pi: -
Yani wawili hawa wamekuja huku mwamaume anamtreat mwanadada kama mpenzi malkia wake anamshikia mlango, kabeba mizigo yote mpaka mkoba wa mwanadada kamvutia kiti akae kama ambavyo wanamake hubwabwaja "I want a gentleman, who holds a door for me bla bla bla" aise don't fall for this, wanawake ni wanafiki sana.
ila baada ya hayo yote malipo ni kumfokea mbele ya umati ?!! Is that how she should repay all the good deeds jamaa amemtendea ?!
Sijui huko watokako walikua wanaishi vipi ila kwa nilichokiona pale jamaa ni "gentlemen" kweli kweli, anamtake care ipasavyo ila mwanamke alichagua kumdhihaki hadharani yes HIVYO NDIO WANAMAKE WALIVYO, HAWAJALI UMEWAFANYIA NINI WALA UMEJITOA KIASI GANI, WAKIAMUA WANASAHAU YOTE NDANI YA SEKUNDE.
Alafu ni WANAFIKI kweli kweli, hata hapa jf utawasikia wanajiongelesha jinsi ati wanawapenda waume au wapenzi wao wakati ukweli ni tofauti women are selfish an lack any real care, even if they tell you they care they just want to keep you in that frame of thinking. Very manipulative.
Japo niwe muwazi jambo moja nilipenda ni pale jamaa aliamua kusimama na kuondoka akimuacha mwanadada na mamizigo (nadhani walikuja pale kwa mapunziko ya week) This move impressed me natamani jamaa awe alimwaga mazima huyu slay queen.
Hata kama kuna jambo walitofautiana je yanini kumfokea mwanaume mbele ya kadamnasi, hakukua na njia bora zaidi ya kuwekana sawa ?!, Tena baada ya mwanaume kua amemtreat mwanamke kama "gentlemen" ?!!
Wanawake wakishavaa mawigi yao (ambayo ni makatani yaliyopakwa rangi) hua wanajiona wanathamani ya almasi, zaidi ya dhahabu, zaidi za kila kitu if something and anything doesnt make her feel good then it is not important.