Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Huu uzi utumike kama mtaala wa kufundishia pindi la ubaharia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimfokee mume/mpenzi wako hata kama haujaafikiana nae kwa mambo fulani. HaipendeziOkeeee
Sawa kabisa topic namba 2 baada ya topic ya kwanza ya mwanaume kutojipaka mafuta makalio ni usoni, mikono na mara chache miguu basi ha haa haHuu uzi utumike kama mtaala wa kufundishia pindi la ubaharia.
Kufokewa ni lazima ila Iwe private. Yaani akikosea namfokea kama mtoto mdogo, si mansema wanaume ni watoto?🤣🤣 ukifanya mambo ya kitoto nakufokea haswa... Ila sio km huyo slay Queen, mi nakufokea kwa adabuUsimfokee mume/mpenzi wako hatatkama haujaafikiana nae kwa mambo fulani. Haipendezi
Pengine yalikuwa yanahitajika eneo lileMamizigo si wangeacha kwenye gari?
Hapo kwenye PRIVATE hapo, bidada wa kwenye uzi huu ndipo alipochemkiaKufokewa ni lazima ila Iwe private. Yaani akikosea namfokea kama mtoto mdogo, si mansema wanaume ni watoto?🤣🤣 ukifanya mambo ya kitoto nakufokea haswa...
Ila sio km huyo slay Queen, mi nakufokea kwa adabu
Ila ujuwe kiujumla wanaume hatupendi kufokewa. Yaani wengine hukaa kimya wakuache ubwatuke au wengine huondoka eneo la tukioKufokewa ni lazima ila Iwe private. Yaani akikosea namfokea kama mtoto mdogo, si mansema wanaume ni watoto?🤣🤣 ukifanya mambo ya kitoto nakufokea haswa...
Ila sio km huyo slay Queen, mi nakufokea kwa adabu
Kugombezwa ni lazima ikibidi 😆Ila ujuwe kiujumla wanaume hatupendi kufokewa. Yaani wengine hukaa kimya wakuache ubwatuke au wengine huondoka eneo la tukio
Ha haa ha mwanamke haipendezi kufoka hata kama ni private. Wakati niko chuo pale Bugema nilipataga kadem ka kichaga (samahani wachaga) basi tukiwa katika kunyanduana kalikua na kauli tata utasikia "wewe, hebu usinisokomezee hivyo" au utasikia "wewe The unpaid Seller hebu jieshimu please mimi sio malaya fanya taratibu" haa ha haaaKufokewa ni lazima ila Iwe private. Yaani akikosea namfokea kama mtoto mdogo, si mansema wanaume ni watoto?🤣🤣 ukifanya mambo ya kitoto nakufokea haswa...
Ila sio km huyo slay Queen, mi nakufokea kwa adabu
Ha haaa mbaya sana weweHa haa ha mwanamke haipendezi kufoka hata kama ni private. Wakati niko chuo nilipataga kadem ka kichaga (samahani wachaga) basi tukima katika kunyanduana kalikua na kauli tata utasikia "wewe, hebu usinisokomezee hivyo" au utasikia "wewe The unpaid Seller hebu jieshimu please mimi sio malaya fanya taratibu" haa ha haaa
kuna siku nilikua nakapelekea moto nikasikia "wewe jiheshid hatuko gym hapa, manguvu yako peleka gym" niliinuka nikavaa nguo zangu nikamwambia "haya toka" akaanza kujichekesha chekesha nikamwambia "nikirudia tena itakua kwa vitendo, toka" akaondoka huku anatuma vitext "wewe The unpaid Seller hutaniwi, haujui hata kubembeleza" sikujibu text nikamblock.
Unafiki wa wanawake huu hapa tena, yani mwanamke akikosea chap lawama hua anatupiwa mwanaume. Kwamba hakumsikiliza mwanamke na sema hata mwanamke akichepuka atajitetea mwanaume alikua hamjali. Very manipulative. Hizi creatures are ilogical. Wanawake mmeumbwa kwa udongo tifutifu.Kuna story nyingine zinachochea wanawake kuonekana ni katili sana. Na kuwatia hofu vijana wanaohitaji kuanzisha mahusiano.
Ukweli ni kwamba ukiona mtu anaongea kwa sauti kubwa au anaamua kufoka hadharani akiwa na mpenzi au rafiki yake, basi ujue tatizo ni mawasiliano.
Wanawake wanapenda kusikilizwa hata kama wanaongea upuuzi.
Ukionesha kutomjali matokeo yake ni malumbano. Ndio maana utakuta dada anaanzisha mahusiano na mtu ambaye haendani naye sana, ilimradi tu anamjali na kumsikiliza.
Wanaume wajifunze kusikiliza. Haipunguzi hadhi ya uanaume. Na wengi wanaowasikiliza wake au wapenzi wao, mahusiano yao huwa na utulivu!
Dah! Mbunge wetu kwenye mada hii...umeliangusha bunge la jamhuri ya wazito.
Kwetu kuna methali inasema " mwanaume huwa anaangaliwa/ anqsomwa". Kuna wengine hata tufanyeje mwanamke hawezi kuthubutu kunyanyua mdomo maana anajua kitakachompata hapo bila hata ya kujali kadamnasi itakuwa dhahama kwake.Tamthilia za Wafilipino zimetuharibia sana Vijana wa kidigitali.
Dume zima la mbegu ufokewe na Ke mbele za Watu bila hata kumshushia kofi 1?
Sio kutetea ujinga wewe ndio umfokee mwanaume mbele za watu kwa kipi hicho alichonacho huyo mwanamkeKuna story nyingine zinachochea wanawake kuonekana ni katili sana. Na kuwatia hofu vijana wanaohitaji kuanzisha mahusiano.
Ukweli ni kwamba ukiona mtu anaongea kwa sauti kubwa au anaamua kufoka hadharani akiwa na mpenzi au rafiki yake, basi ujue tatizo ni mawasiliano.
Wanawake wanapenda kusikilizwa hata kama wanaongea upuuzi.
Ukionesha kutomjali matokeo yake ni malumbano. Ndio maana utakuta dada anaanzisha mahusiano na mtu ambaye haendani naye sana, ilimradi tu anamjali na kumsikiliza.
Wanaume wajifunze kusikiliza. Haipunguzi hadhi ya uanaume. Na wengi wanaowasikiliza wake au wapenzi wao, mahusiano yao huwa na utulivu!