Wanawake, hata kama mmetofautiana na waume zenu msiwaseme mbele za watu

Huyo dada ametetea ujinga tuu achana nae mnafiki huyo
 
Dada,

Kuna wanawake ambao hawafai kusikilizwa wao ni kama vichaa wakilipuka wamelipuka!

Kuna siku tupo kwenye harusi watu wengi tu ndugu wa karibu pamoja na wageni. Dada yangu mmoja (mtoto wa baba mkubwa) yupo na mumewe sijui walipishana nini acha aanze kum bwatukia pale pale.. "Wewe nae ni mwanaume? Wanaume wakiitwa na wewe utaenda? Hebu nitokee hapa..!" Na maneno mengine makali ya kejeli. Masikini kijana wa watu ni mpole sana akawa amejiinamia tuu wala hakujibu kitu. Mimi binafsi nilisikia maneno hayo kwa masikio yangu na nilikasirika sana sema sikua na la kufanya kwa mazingira yale zaidi ya kujitahidi kuwapooza pooza kuficha aibu.

Mungu sio athumani juzi kati nasikia jamaa yamemfika hapa, kamshushia sista kipondo hevi sana mpaka kamvunja mkono, na amemtimua nyumbani nasikia sista karudi kijijini yuko hoi bin taabani. Wote tuliosikia habari hiyo tumefurahi sana..
 
Lanlady nadhani unaona shuhuda jinsi sio kweli kua wanawake huonyesha tabia mbaya kama matokeo ya kutosikilizwa, tena mwanamke akimpata mwanaume msikivu na mpole ndio hua mnawapanda kichwani dakika 0 narudia HASA NYIE WANAWAKE WENYE VIJIELIMU, alafu unafiki wenu haraka haraka lawama mnazitupa kwa wanaume, you are never responsible for you actions. sijui mmeumbwaje nyie watu, mnakera sana.

Bisha mpaka ujambe, tete wanawake kwa sauti mpaka sayari ya Pluto ukusikie ila ukweli wanawake mna akili kidogo na unafiki mwingi ndio maana hampendani.
 
Hawawezi kuacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…