Wanawake hawa wa "jf" ni mfano wa kuigwa...nawapenda sana

1.sky elcat
2.miss chagga
3.miss natafuta
4.feitty
5.scorpio me
6.Nifah
7.cute b
8.heaven sent

Jamani nawakubali sana girls

Ilaa kuna huyu hapa
1.Monicca
Simuelewagi
Sijui kala maharage ya wapi huyuuuu[emoji38]
bikira latifah asante kwa kutonielewa, binafsi napenda sana jinsi nilivyo.

Nawewe si wa kwanza kushindwa kunielewa.. Hatuwezi kufanana wote hata siku moja ndiyo maana wewe waitwa bikra latifah nami naitwa moniccca.
Hata ukija ofisini wengi watakwambia hawanielewi..pamoja na kutokunielewa lkn bado kuna wengine wengi wananielewa sana tu.
 
Aiseee
 
Lol wengine mnatubagua
Wewe umepishana nalist kama wengine walivyopishana na mkopo.Mimi wana Jf wote tu nawakubali kwani ata unapopishana nae kauli ni changamoto za kawaida tu zakiubinadamu
 
we ni unanitaja kwenye hawa wamama na mie ni mbaba lolz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…