Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Naku pm sasa hivi.Ni pm.....
OkyNaku pm sasa hivi.
...
Sasa wewe unamganda huyo Compact wa nini, anaonekana yuko bussy muda wote...haha asee wote mnioe sasa...
😀😀😀aseee sijaiona,unamchongea sio...Sasa wewe unamganda huyo Compact wa nini, anaonekana yuko bussy muda wote...
Afu ile thread yake aliyeileta leo asubuhi kuwa katapika baada ya kuleweshwa na wadada wa corner bar uliiona kweli? Itafute ipo
scorpio me bby usimsikilize huyu. Unajua kabisa usiku wote tulilala wote na tulivyoridhishana na hakika hakuna uzi wowote nilioleta kuhusu mambo ya hao anaodai. Hizi ni njama tu za Saint Ivuga kutaka kutuachanisha lakini haitawezakanaSasa wewe unamganda huyo Compact wa nini, anaonekana yuko bussy muda wote...
Afu ile thread yake aliyeileta leo asubuhi kuwa katapika baada ya kuleweshwa na wadada wa corner bar uliiona kweli? Itafute ipo
Aaa! Simchongei hata.. Mbona thread yenyewe imewnda mbali sana kila mtu anaijua. Yani unaaibishwa sana humu ndani.😀😀😀aseee sijaiona,unamchongea sio...
Pitia post na 16 nimekutaja mkuu.mbona mimi siko hapo😛😛😛😛😛
Bebi kidude cha pm skioni niandikie namba yako hapa nikutext whatsapp.
Shushu vip[emoji173]aliyekula maharage huyo labda ni ndugu na slaa
itafahamika tu....🙄scorpio me bby usimsikilize huyu. Unajua kabisa usiku wote tulilala wote na tulivyoridhishana na hakika hakuna uzi wowote nilioleta kuhusu mambo ya hao anaodai. Hizi ni njama tu za Saint Ivuga kutaka kutuachanisha lakini haitawezakana
thanks latifah pamoja naweShushu vip[emoji173]
Mhhh ichana hadi weweeee[emoji15] [emoji38]Ha ha bado sijafika level ya kutajwa...
Aaa kiongozi kumbe umepita Minaki.Pitia post na 16 nimekutaja mkuu.
Kipindi namaliza A'level mkuu wa shule yetu alikuwa anaitwa Kaaya unamfahamu?? Jina lako umenikumbusha mbali sana mkuu Minaki high school
mhhh unapenda kupm wewe[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji3] [emoji3]Naku pm sasa hivi.
...
Aiseee[emoji134] [emoji23] [emoji23]mhhh unapenda kupm wewe[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji3] [emoji3]
Wallah we Saint Ivuga ntakupasua endapo mke wangu akiniacha. Nitakufanya cha hujawahi kufanyiwa.itafahamika tu....🙄
Ha ha bado sijafika level ya kutajwa...