Wanawake hawa wa "jf" ni mfano wa kuigwa...nawapenda sana

Wanawake hawa wa "jf" ni mfano wa kuigwa...nawapenda sana

Kaaya aliondoka 2009 kama sijakosea.
Eti mkuu QUIGLEY nipo sahihi??
Nilisikia mkuu tangu 2009 - 2016 yupo Chungu.
Ha ha hujakosea.
Ulimaliza A level mwaka gani? Manake mm niliondoka kitambo sana pale hata Kaaya hakunikuta.
Pamoja sana kiongozi
 
Back
Top Bottom