Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Sema kweli Mjukuu 🤗Hivi tu hatupendani kuko hivi, siku tukipendana wanaume wajiandae kuwa na hali mbaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema kweli Mjukuu 🤗Hivi tu hatupendani kuko hivi, siku tukipendana wanaume wajiandae kuwa na hali mbaya.
Kweli babu, hii ni moja ya kauli iliyoandaliwa kimkakati kucement “utengano “Sema kweli Mjukuu 🤗
Kwa hiyo mue mnaachwa mnyoshane kidogo...
Sweetheart unakuta mwanamke anasema hampendi mwanamke mwezake...😂😂😁😁😁!
Akili zako weee Mbili kasoro ujue!
Hahaha..............kwahiyo tuanze kukaa Kwa machale sio?Kweli babu, hii ni moja ya kauli iliyoandaliwa kimkakati kucement “utengano “
Lesemwalo lipoHii kauli ya wanawake kutokupendana nayo ifike time msiichukulie serious kihivyo.
Vita vipo kila sehemu.
Haitokaaa itokeeTutaanza kupendana ,. Tutajirekebisha
Ndugu zako wanavyompigia wife simu kuhusu mahitaji, anawatumia pesa zake au zako ?Nadhani ni suala la kuweka Mipaka na kuwa na Msimamo tu
Binafsi nimeweka Utaratibu inapotokea ndugu zangu Wana mahitaji ya msaada hasa ya Kifedha, nimewaelekeza wampigie Waifu. Kwahiyo waifu ndiyo atawatumia hiyo hela
Na Ndugu wa Waifu wakiwa na shida ya Kifedha, wananipigia simu then nawatumia.
Kwa kufanya hivyo nimeona kidogo maneno yamepungua kiasi
Wivu roho mbaya na kuwashwa tu hakuna kingine lo!Sweetheart unakuta mwanamke anasema hampendi mwanamke mwezake...
Hizo sababu sasa... Yeye mwenyewe hata hajui kwa nini hampendi... Hahaha...
Aisee,kweli siye wabinafsiDeal na ndugu zako kimya kimya asijue mkeo ila deal na ndugu zake kwa kumshirikisha ataona mzani umeegemea kwake mtakuwa na furaha
Kivp mkuu?Inatakiwa wasijuane.
ni lazima ndio siwez mkataza asisaidie nduguze lakini ukute kuna jambo halijasimama tunatakiwa liende aje wifi adai mtoto kameza shoka anatakiwa helaIla ndugu kuwa tegemezi nalo ni tatizo
Ila pia sio ttz sana maana lazima asaidie ndugu zake
Aiseee ni kazaaaa kazezeeeee bora mtu ubaki mweupe tuu kuwe na amani 😆ni lazima ndio siwez mkataza asisaidie nduguze lakini ukute kuna jambo halijasimama tunatakiwa liende aje wifi adai mtoto kameza shoka anatakiwa hela
Mkeo na ndugu zako wasijuane.Kivp mkuu?