Wanawake hawapendani, Una deal vipi na vita ya kimya kimya ya mke, dada zako na mama yako?

Wanawake hawapendani, Una deal vipi na vita ya kimya kimya ya mke, dada zako na mama yako?

Kama ndugu wa familia moja mna shindwa kusaidiana nalo ni balaa hilo
Narudia...ni nchi masikini tu ndiio tuna huo utamaduni...elewa nchi maskini.
Majuu hata mtoto akifikisha 18yrs atapambana na kazi na mabank sio kumwomba baba wala kaka.

UKitoka utanielewa, ukibaki kwamtogole hutanielewa mkuu
 
Mbona ishu simple kabisa hiii
Wee unamchana live wife kuwa huku kwa bimkubwa sitaki fyoko fyoko. Kwa mwezi chake hiki na wewe chako hiki.
Maza nae unamchana livepia...bi mkubwa sasa priority ya kwanza ni mke na watoto wangu so wee sasa ni namba twoo na tena ata nikiwa naendesha gari ni mke mbele wewe back bencher. Sistas ndio kabisaa hawapaswi kukuumiza kichwa wao wakaoleae na wadeal na waume zao.
Ni watu wawili tuu wanaoruhusiwa kuzungumza kuhusu ndoa yangu...my wife and i period.
 
Hao watu vita yao huwa haina kichwa wala miguu sometimes, kama mwanaume ukiingilia sana hizo vita zao utaishia kuharibu tu na kuchagua upande na mwisho wako utakua karibu bila kujali mahusiano uliyonayo nao.
 
Nadhani ni suala la kuweka Mipaka na kuwa na Msimamo tu

Binafsi nimeweka Utaratibu inapotokea ndugu zangu Wana mahitaji ya msaada hasa ya Kifedha, nimewaelekeza wampigie Waifu. Kwahiyo waifu ndiyo atawatumia hiyo hela

Na Ndugu wa Waifu wakiwa na shida ya Kifedha, wananipigia simu then nawatumia.

Kwa kufanya hivyo nimeona kidogo maneno yamepungua kiasi
Mkuu hii sio poa. Hawawezi kukwambia tu ila moyoni Wana yao
 
Nadhani ni suala la kuweka Mipaka na kuwa na Msimamo tu

Binafsi nimeweka Utaratibu inapotokea ndugu zangu Wana mahitaji ya msaada hasa ya Kifedha, nimewaelekeza wampigie Waifu. Kwahiyo waifu ndiyo atawatumia hiyo hela

Na Ndugu wa Waifu wakiwa na shida ya Kifedha, wananipigia simu then nawatumia.

Kwa kufanya hivyo nimeona kidogo maneno yamepungua kiasi
Wait, what?
 
Ndugu wakigombana chukua Jembe ukalime..., wakipatana chukua Kapu Ukavune....
 
Wivu roho mbaya na kuwashwa tu hakuna kingine lo!
Unakuta hao watu Mwanzo walikua vizuri tu tena uneza ambiwa walikua wanaitana rafiki / best kabesa inakuaje sasa wawe hivo kama si kuwashwa vinee???!

Nauliza tu inakuaje??
Mpendane...
 
Back
Top Bottom