Wanawake hawapendani, Una deal vipi na vita ya kimya kimya ya mke, dada zako na mama yako?

Jua kuweka mipaka baina ya familia yako na yenu(kwenu)
 
Simple tu watenganishe na wapige marufuku kuwasiliana..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Maisha yanahitaji balansi Babu ake.
Ni sahihi Mjukuu, unaweza kuegemea upande wa ndugu zako halafu usiku Mke anakunyima vile vingine.....πŸ˜œπŸƒπŸƒ

Bora kuwa neutral kama Nchi ya Tanzania kuhusu Sera zake za mambo ya Nje πŸ€—
 
Mambo yapi Mkuu?

Pamoja na yote nami naungana na Wewe Nikifa MkeWangu Asiolewe
Hao viumbe ni kweli hawapatan in nature na hawaaminiani!

Hivyo kitendo Cha mke wako ndo kuwapa Hela Tyr washajua wewe unatawaliwa na mke wako ndo anamilki Hela zako.

Finally uje utokee mzozo wa wewe na mke wako ndo utajua ndg zako Wana Sumu Kali sana Kwa mke wako.


Hii Kwa Sasa huwezi sikia maana wanajua msimamo wako na pia wanadhani utamwambia tu. wanaamini either umerogwa na mke wako. Hawawezi sema ila siku wakipata upenyenyo hasa wewe kuonyesha huna time nae nakuambia utaambiwa na Yale huyajui.
 
Naungana na Wewe kwenye hili

Nimeshaambiwa hayo unayosema kwamba nimepewa Limbwata na Mke wangu lakini jambo ambalo nafahamu kwamba Siku nikifa watoto wangu lazima wanyanyasike na hawa Hawa Ndugu zangu maana wao pia Wana watoto zao

Mke wangu hawezi kuwanyanyasa watoto zangu as ni watoto zake pia

Kwahiyo ndugu nawasaidia pale ninapoweza tena Kwa kiasi, lakini Mke na Watoto wangu hao ndiyo kipaumbele changu.

Na hata Mke ikitokea tumeachana Kwa sababu zozote nitahakikisha namtunza yeye na Watoto wangu hadi nitakaposikia ameolewa ama anakaa na Mwanaume mwingine
 
Kama dada zako na mama yako wanaweka vitu status bila shaka watakuwa hawajalelewa kwenye maadili NB: naongea hivyo kwakuwa kwetu ni pwani
 
Nakadiria haujazidi miaka 25
 
Mke na mawifi ni upendo/uhusiano wa kinafiki sana heri mama mkwe
 
Pole sana Mkuu, seems unapitia changamoto kadhaa za Ndoa kutokana na ndugu

Ndugu ni ndugu na Mke ni Mke

Hakuna wa kutakiwa kuvuka mstari kati yao
ila inawezekana tusielewane kwasababu ya tofauti ya imani zetu kwasababu kama shida sio umri basi itakuwa tatizo ni imani bila shaka wewe ni mkristo
 
Ndo maana kazi yao ni kukaa na watoto kuwalea. Na hao watoto wakishapata akili, anakuwa hana tena kazi ya kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…