Wanawake hawapendi ndoa

Wanawake hawapendi ndoa

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Moja kwa moja kwenye uzi.

Kama kichwa cha uzi kinavyosema" wanawake hawapendi ndoa" ndio hii inaweza kukushangaza lakini ndio ukweli.

Wanawake hawapendi ndoa kabisa tena hiki kizazi cha sasa ndio hakipendi ndoa kwa kiwango kikubwa kuzidi cha zamani kidogo.

Wanawake wanapenda hivi vitu vifuatavyo:-

i, Pete ya kuringishia marafiki zake na wale anao fahamiana nao.
ii, Wanawake wanapenda harusi( sherehe basi)
iii, Wanawake wanapenda mtaani kwao wajue anaolewa
iv, Wanawake wanapenda kulelewa
v, Wanawake wanapenda michango ya maharusi nao iwapitie kama ilivyo wapitia wenzao

Wanawake wamechoka aibu na masimango lakini hawapendi ndoa.
 
Kikubwa usisaini cheti cha ndoa mzee we piga mwendo wa sogea tukae
Hii ndiyo gear sasa hivi.

Wanawake wengi wanataka watoto kuliko kukaa na mme ndani. Halafu wanaamini akiwa na vihela baaasi anakuwa ameziba nafasi ya mwanaume.

Lakini akiwa nje ya ndoa hawana furaha kabisa. Huo ndiyo ukweli na hawana tahadhari ya kulinda mahusiano yao!
 
Tunaungana na waswahili maisha y mtu hadi anakufa ana ndoa tatu au Zaid.
Nadra sana kukuta mtu hadi uzeeni ana ndoa moja.
Oa acha oa acha ndio mfumo wa Dunia kwa sasa
 
Back
Top Bottom