Wanawake haya "mawigi" yanatakiwa yakae siku ngapi kichwani?

unanikuta niko kariakoo nakutiming nakuvua huyo naanza kukatisha mitaa kisha naenda kulichoma moto hasa hivi viless wigi vya bei rahisi
Yaani ntakulaani.
 
Nitajibu kwa sababu sina nywele.

Hahaha sawa nimekuelewa, lakini mkiwa na nywele zenu asilia huwa mnapendeza zaidi, cha msingi ni matunzo. Nina imani kwa vile jamaa yako anakununulia hayo mawigi basi atakuwa na uwezo wa kugharamikia nywele zako za asili ukiamua kujitunza. Mjikubali.

Na nikupe siri kuhusu wanaume? huwa tunapenda mwanamke ambaye yupo natural si yule aliyeji' pimp. Kucha fake, nywele fake, kope fake na hata kutembea nako fake plus na sauti nayo pia.
 
Yani mimi fake ni nywele zangu tu. Sibandiki kucha sijawahi kubandika kope. Yani niko fake kwenye nywele tu. Na tukubaliane kwamba sio kila kitu Mungu atakupa kama wengine. Kama mimi kanipa kipilipili na nimekipokea nimeamua kukificha kwa nywele fake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Vipi kama Mungu angekunyima sura ungefanyaje? Jikubali wala usijione kama una kasoro. Hiyo ni uniqueness.
 

Sijui kwa nini tu baada ya kuuona huu uzi nikahisi huwezi kosekana hapa....wink wink
 

Oh wow!! Kumbe zile nyonyo sio fake eeh!! Basi mi nikadhani labda zimefanyiwa utundu na daktari ili ziwe zilivyo kumbe kila kitu ni au naturale!!

In DJ Khaled’s voice.....they the best.....hahahaa.
 
Sidhani kama kuna mwanaume mwenye akili timamu anapenda mkewe avae haya , huwa mnaforce tu.

Binafsi nilishampiga marufuku wife ole wake ajaribu kuyavaa.

Halafu mbona huwa hampendezi au sisi vipofu?
Wanaume mnachekesha tulio natural tunaonekana washamba na tusioenda na wakati
Vichwa vyenu vya juu havitaki mawigi lakini mnasahau kuwa akili yenu ya juu imeshikwa na kichwa kidogo cha chini na abdala kichwa wazi anapenda mawigi, mnazunguka tu mulemule
 
Mkuu nakubaliana na wewe, mwanamke anapendeza zaidi akiwa natural.

Tatizo wanawake wana force/kuomba wanunuliwe na majamaa zao, halafu wanafikiri majamaa wanayafurahia kisa wamewanunulia, kumbe wangejua! .., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie watu ni matapeli acheni ulaghai
 
Hayo madude yamegawanyika kuna yale ya ghali huwa wanayaosha kuyapasi na kuyapaka mafuta..sema wengi hawawezi kuya afford. Shunie
 
Mkuu mimi sikuishia kwenye kupiga marufuku tu bali nilimpeleka kwa mwanasheria akasign mkataba wakutokuvaa wigi maisha yake yote tutakayoishi pamoja kisha akala na kiapo juu............
Hee makubwa yaani ukamlazimisha awe natural bila yeye kutaka???

Tupo tusiolazimishwa nafurahia muonekano wangu asilia hata masikio sijatoga
 
Kuna dada lilianguka kwenye boda boda nilimstua mpaka sauti ikakauka hanisikii tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…