Wanawake haya "mawigi" yanatakiwa yakae siku ngapi kichwani?

Kuweni creative kwenye mambo ya maendeleo!
Duh! Mnatia aibu walahi!
Tuacheni na minywele yetu , tunayapenda haswa!
Kama huyapendi pasuka!
Hahahaha
 
Hee makubwa yaani ukamlazimisha awe natural bila yeye kutaka???

Tupo tusiolazimishwa nafurahia muonekano wangu asilia hata masikio sijatoga
Tatizo akili zenu huwa za kuambiwa, hongera sana kwa kuwa natural huwa nafurahi sana kumuona msichana aliye natural, wanavutia sana hata kuwaangalia. Sio unakutana na msichana kachonga makope, kabandika makope,malipstick mdomoni, kucha kapaaka marangi (tena ya zambarau au bluu),
 
Kwahiyo kwakua Mungu kakupa kipili pili ndo ujione hauna maana au ...kwa maana hiyo na akili yangu ilivonituma ni kwamba, hata rangi yako nyeusi unaona haina maana unaficha na mkorogo.
 
Kwahiyo kwakua Mungu kakupa kipili pili ndo ujione hauna maana au ...kwa maana hiyo na akili yangu ilivonituma ni kwamba, hata rangi yako nyeusi unaona haina maana unaficha na mkorogo.
Hayo yako
 
Sisi tunachekesha kwahiyo umeshatugeuza sote Majoti sio.
 
Hee makubwa yaani ukamlazimisha awe natural bila yeye kutaka???

Tupo tusiolazimishwa nafurahia muonekano wangu asilia hata masikio sijatoga
Kwenye masikio kutoga kwa mwanamke na kuweka herini ndo inatakiwa, lakini unakuta mijanaume eti ndo inatoga.
 
Kuweni creative kwenye mambo ya maendeleo!
Duh! Mnatia aibu walahi!
Tuacheni na minywele yetu , tunayapenda haswa!
Kama huyapendi pasuka!
Hahahaha
Umenikumbusha chuo tuliandaa party ya crazy colour hahaha wadada walivaa mawigi mekundu meupe kijani yani ilikuwa balaaaa
 
I am yet to meet a man who has anything positive to say about wigs πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

Bado sana kukutana na mwanamme yeyote aliesifia mawigi
Kwa nini hamtaki kujikubali?

Kila mmoja kaumbwa kwa uzuri asilia, tujikubali tuepukane na adha zisizokuwa za msingi
 
Kwa nini hamtaki kujikubali?

Kila mmoja kaumbwa kwa uzuri asilia, tujikubali tuepukane na adha zisizokuwa za msingi
We nani alikwambia ni adha? Ulishawahi kuvaa zikakukera? Hutaki mwanamke mwenye wig wapo team natural wengi tu mbona mjini.
 
Rangi kama nyumba
 
We nani alikwambia ni adha?
Adha sio lazima uone wewe japo kuna adha mnakumbana nazo ila hamtaki kukubali, vipi ukinyeshewa mvua na wigi lako, hapo kinachotokea unakijua mwenyewe
Ulishawahi kuvaa zikakukera?
Sijawahi kuzivaa na zinakera, jee nikizivaa sio ndio itakuwa balaa zaidi
Hutaki mwanamke mwenye wig wapo team natural wengi tu mbona mjini.
Sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…