Wanawake hebu kuweni makini na ikulu zenu kama kukiwa na harufu inakata mzuka wote

Spam hazina nini????? Ile harufu ya spam mimi mbona naweza tapika?....
Kingine acha kujibebea kila mwanamke ndo maana umekutwa na visanga, na bado.
Unatapikaje wewe?
Kitu inamezwa ileπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Kama mtu hajisikii au hajijui si inabidi umwambie au?
Hii hutokea kwa mtu wako, ukiona mabadiliko ndipo unamwambia kuwa nahisi kuna tatizo flani hebu ukacheki..
Sasa huyu wa kuokotwa road mmh
 
Hugo ni mjasilia.Ali nawe u luv yo by I'm sham na ukaboka
 
Hii hutokea kwa mtu wako, ukiona mabadiliko ndipo unamwambia kuwa nahisi kuna tatizo flani hebu ukacheki..
Sasa huyu wa kuokotwa road mmh
Hata huyo wa Road mwambie itasaidia next time ukimuokota atakuwa msafi. Ni kwa faida yako pia wewe ambaye ni zoazoaπŸ˜…
 
Hili tatizo limekuwa kubwa sana kuna nyuzi nyingi sana wanaume wanalalamika kuhusu hili la wanawake kunuka mbususu.

Kwa nini haukupata wazo la kumwambia mkaoge kwanza

Hata wanaume wananuka sana wachache wanaume ambao ni wasafii kwa kila kitu wengi wenu heheee sema wanawake huwabadilisha kuwa wasafi
Nyinyi sasa mnakimbilia jf kuanzisha uzi
 
Hata wanaume wananuka sana wachache wanaume ambao ni wasafii kwa kila kitu wengi wenu heheee sema wanawake huwabadilisha kuwa wasafi
Nyinyi sasa mnakimbilia jf kuanzisha uzi
Wanaume wengi wananuka midomo. Hili ni janga la kitaifa
 
Hata huyo wa Road mwambie itasaidia next time ukimuokota atakuwa msafi. Ni kwa faida yako pia wewe ambaye ni zoazoaπŸ˜…
Niombe radhi kabla sijakuombea yakukute
 
Hata wanaume wananuka sana wachache wanaume ambao ni wasafii kwa kila kitu wengi wenu heheee sema wanawake huwabadilisha kuwa wasafi
Nyinyi sasa mnakimbilia jf kuanzisha uzi
🀣🀣🀣 sio kwamba tunakimbilia huku jf imekuwa kero sasa. Jitahidini usafi dada zetu tunawapenda sana na ndio maana tukisikia ile harufu huwa tunawasitili sana inabaki siri yetu. Mashine zinanywea tunatoa visingizio vya kutonyandua mbususu
 
Kukimbilia jf mshasema sana imetosha fanyeni kwa vitendo huko muwape pesa wakatibiwe acheni kulalamika bila vitendo au kutochukua hatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…