Wanawake hivi mkiachana kwenye mapenzi ni lazima muwe maadui?

labda wew ni pesa ndo uwe unasemwa kila mahal,usiwe na tabia ya kuhisi kuwa unasemwa, kuna wengine wanaposti ili kuona watu wanamitaxamo gan,hakun MTU mwenyeakili timam anapoteza muda wake kumsema MTU,
sijahisi kama nasemwa bali ni mada tu nimeanzisha wala usihisi hivyo hata kidogo sina uadui wala visasi sawa my best friend
 
mbona urafiki wetu umekufa je nn tatzo?
 
Mbona nyuzi zenu wanaume za hivyo ndio zimezidi humu?
 
huwa nakutumia wewe kama fimbo ya kumchapia ex wangu tena namkomeshaga haswaa
hakuwezi kwa chochote hata akili

Mmmmh!!! Si ndio maana kila siku nazidi kukupenda, mwisho nitajikuta nikikutazama tu nashiba.
 
Mm Wangu Ananiita Majina Yote Mabovu Dunia Hii, Pakashume, Ibilisi, Mku.Du,makalio Na V2 Vnavyofanana Na Hvyo. Lkn Mm Nampenda Km Mwanadamu Mwenzangu Japo Nilishamwambia Hawez Rudiana Na Mm Kwan Nlimpa Nafac Aliichezea. Cto Jarb Kumtuc Kwakua Namheshmu Kwan Nathamin Mchango Wake Wkt Akiwa Demu Wangu, Najua Ni Matatzo Ya Kisaikolojia, Ni Wkt Mgumu Anaopita Na Mm Najar Hlo, Naamin Cku Akizoea Hata Nitukana Tena. Me Maisha Ya Mizozo Kusuruhishana Kila Cku Cyawez, Japo Kunawatu Ndo Hulka Yao Hyo. Kunawatu Wanashaur Labda Ni Type Ya Wanaopenda Kupgwa Ndo Anakuelewa, Ss Mm Kupga Mwanamke Cjawh Toka Nzaliwe, Pia Cpendi. Kuna Wkt Anaongea Km Chiz, Namuonea Huruma Had Nalia. Namuombea Sn Kwa Mungu Apate Mtu Mwingine Atakae Msahaulisha Kuhusu Mm.
 
sasa mawasliano ya nini tena unataka?afu muongee nini cha zaidi?
 
mimi binafsi tukiachana hata kwa kheri tu huwa nafuta no, no communication tena, ila ukiwa na shida I will help you kindly, tukikutana tutasalimiana vizuri tuu, lakini hatuitaji kuwa na mazoea, tuishi tu kama watu baki
 
Kwanini msiwe maadui ndio swali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…