Wanawake hivi mkiachana kwenye mapenzi ni lazima muwe maadui?

mimi binafsi tukiachana hata kwa kheri tu huwa nafuta no, no communication tena, ila ukiwa na shida I will help you kindly, tukikutana tutasalimiana vizuri tuu, lakini hatuitaji kuwa na mazoea, tuishi tu kama watu baki
ndaga
 
Hapo mwisho ndipo ulipokosea. Hukuvua chupi ndio maana anaongeaongea hovyo

sent from using iphone 7+ mobile app
 
Ah wewe LAZMA TUWEKE BIFU tuspo weka bifu sindyo tutajikuta tuna rudiana wakati ambao kila mtu ana mtu wake wa ndoa??
 
Wewe mtu mmeachana salamu ya nini, Fanya yako maisha yaendelee ila akikutafuta wewe.. kwanza mm mtu tukiachana ndani ya wiki moja namsahau kabisa, Hata nikikutana nae moyo haushituki kabsa

Send from Nokia batani
 
Mie naongea na poa tena x wangu anaolewa kanipa na kadi ya mchango.

The Corner stone which was rejected by Jewish.
 
Mmoja majuzi nilikutana naye njiani jioni saa moja. Ili kumsalimia na kumchangamkia tukajikuta tunapita karibu na baa. Akasema ana njaa nimnunulie chipsi kuku au chipsi mayai. Nikamnunulia na vi reds viwili akanywa kamoja kengine akabeba.

Nikaomba namba akasema nimpe yangu NA HELA YA VOCHA atanipigia. Nikampa.

Kesho yake katuma msj nikauliza namba ya nani. Niliambulia tusi siwezi litaja. Tusi lenye maneno ishirini na ushehe.... ndani yake kuna maelezo ya kujitambulisha. Nikanyuti. Baada ya masaa 2 akapiga. Kwa vile ninakatamani na kapo under 25 hivi nikajikaza na kupiga. Akaomba nimnunulie kuku nimpelekee kwake. Hawezi kuja baa au pengine popote nilipo.

Baada ya kumalizia ka bia kangu nikampigia kwamba siwezi kwenda kwake nimepatwa na dharura.

Alikata simu na kuniporomoshea matusi kashfa na vitisho sina hamu. Kwamba nina bahati ningeenda ningekiona. Nigewolewa...

Sina hamu kabisaaaa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mtu mmeachana salamu ya nini, Fanya yako maisha yaendelee ila akikutafuta wewe.. kwanza mm mtu tukiachana ndani ya wiki moja namsahau kabisa, Hata nikikutana nae moyo haushituki kabsa

Send from Nokia batani
Aisee wiki mbo ndefu hivyo. Kwa ninaowatamani huwa haizidi NUSU SAA kuwasahahu. Afu ni wengi balaa. Unaongozana na mmoja kwenda kugegeda hapo hapo bado unatamani mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wanaume wengine kama wanawake mtu anakuacha anakutukana weee mpaka unajiona choo alafu baada ya muda anarudi umsamehe eti ni hasira tu ... Shida kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…