Wanawake hivi mnapendea nini sauti nzito?

Wanawake hivi mnapendea nini sauti nzito?

Mimi binafsi sauti langu nalichukia yaani unakuta siku lisauti linakuwa lizito kama umemeza kokoto, cha kushangaza eti kuna lidada limoja huwa linaniambiaga anapenda sauti yangu ilivyo yani hadi namshangaa.

Hivi mnapendea nini sauti nzito yaani inakuwa inawapa feeling gani sisi wenyewe hatupendi hii misauti nyie mnapenda.

Kuna mwingine ana video za Obama kibao ukimuuliza kwanini anasema eti anapenda sauti yake tu sasa hii misauti mizito yetu nyie iweje muipende.
Aisee wewe kama mimi huwa najiuliza hii sauti vp, naonaga tabu sana niwapo kwenye vikao vya majukumu katika sehemu zetu za jujipatiq riski.

Hata nikiwa kwenye usafiri wetu wa jamii ikitokea naongea na simu basi baadhi ya abiria lazima wakunje shingo. Anyway tumejaaliwa hivyo. Acha nipotie comments.
 
Sina uhakika labda alisahau kumalizia,ni sauti na pesa,bila ya pesa hapo utakuwa ulikuwa unawekwa sawa ili ukazitafute mkuu...
 
Sauti nzito sauti ya mamlaka..
Inaniongezea nyege na mdeko wakati wa kupigwa miti..navurugwa dudu ya baba chanja ikiwa ndani yangu akiwa anapiga mikito yake na kunisemea masikioni mwangu..[emoji39]..acha tu
Ai ai ai aiii. Usalama ndani ya boxer umeanza kukosekana.
 
Mimi binafsi sauti langu nalichukia yaani unakuta siku lisauti linakuwa lizito kama umemeza kokoto, cha kushangaza eti kuna lidada limoja huwa linaniambiaga anapenda sauti yangu ilivyo yani hadi namshangaa.

Hivi mnapendea nini sauti nzito yaani inakuwa inawapa feeling gani sisi wenyewe hatupendi hii misauti nyie mnapenda.

Kuna mwingine ana video za Obama kibao ukimuuliza kwanini anasema eti anapenda sauti yake tu sasa hii misauti mizito yetu nyie iweje muipende.
Unawauliza swali kama lile wanalotuuliza kuhusu kupenda makalio makubwa!
 
Back
Top Bottom