raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Hawana jeuri hiyo 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui atafanyaje kunituliza aisee🤣🤣🤣 Akizalisha utafanyaje?!
Kitu usichokijua.Kukubali mpaka tuonyweshe kaburi la mama mtoto..
Ukweli ndio huo, me nimempenda baba yao hayo mengine ya kwao wao na mama zao!!Sawa dada umeongea kweli kama mwanamke
🤣🤣🤣 Me hata sigombani, kwani kanizalisha mimi?! Napendeza nakula maisha.Sijui atafanyaje kunituliza aisee
Itakuwa ni kuachana maana itakuwa kila siku ugomvi
Ndio wanatafuta mtoto wa pili tena na hivyo na pesa kwako zitapungua zinagawanywatena🤣🤣🤣 Me hata sigombani, kwani kanizalisha mimi?! Napendeza nakula maisha.
Kazi kwao kupigiana simu na kusindikizana hospital usiku mtoto akizingua!!
🤣🤣🤣 Kwani wewe pesa huna?! Na siku zote unazoishi naye unashindwa vipi kuzifanya pesa zake ziwe zako?Ndio wanatafuta mtoto wa pili tena na hivyo na pesa kwako zitapungua zinagawanywatena
we unaonaje?Kwa hiyo wanakubali?
Hawana jeuri ya kukataawe unaonaje?
Kabisa.Hawana jeuri ya kukataa
Sasa anazopewa yule si ziongezwe kwangu au matumizi hayapandi🤣🤣🤣 Kwani wewe pesa huna?! Na siku zote unazoishi naye unashindwa vipi kuzifanya pesa zake ziwe zako?
Me wazae hata dazani, kimpango wao!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂Kukubali mpaka tuonyweshe kaburi la mama mtoto..
Mkuu ulichoongea ni sahihi, ila sio kwa wanawake wa sikuizi, labda mama zetu waliozaliwa 60s and 70sKitu usichokijua.
Mwanamke huwa ngumu kumsahau mwanaume aliyefanya naye mapenzi.
Lakini ni rahisi kwa mwanaume kumsahau mwanamke aliyefanya naye mapenzi.
Hii ni kwa sababu mwanamke anapenda kwanza halafu ndiyo anasex, wakati mwanaume ansex kwanza halafu ndiyo apende.
Mwanaume anaweza kulala na mwanamke bila kuwa na malengo naye.
Halafu mwanamke anapenda mwanaume anayeshindaniwa wakati mwanaume anapenda mwanamke asiyeshindaniwa.
Kwahiyo ni rahisi mwanamke kuoana na mwanaume mwenye mtoto kuliko mwanaume kuoana na mwanamke mwenye mtoto.
NakaziaUna miaka mingapi na uzoefu wa maisha! Mwanamke anachoangalia ni uhakika wa maisha! Hata kama una wanawake 1,000 na watoto 2,0000,000 ili mradi mke awe ana uhakika wa maisha! Hii ndivyo ilivyo katika maisha yetu ya sasa na hata Biblia mfalme Suleiman alikuwa na wanawake zaidi ya 1,000 sijajua watoto wangapi (1 falme 11:3).
Tena wake zake hawakuwa wanawake kauzu wa mtaani! Suleimani alioa wana wa wafalme 700! Hakuna binti mbichi mwenye bikra atakayekukataa kama maokoto yapo!
Hivi yule mwadada Dina hawezi fanya hii kitu ? Singo Maza and Faza Get Together partySerekale iwakutanishe singo maza na faza waoane wao ili nchi isiwe na haya masimango....
Nimesema utaoa ila atakuwa tu kwa maslahi hapo.Mbona wako wengi wameolewa mume ana mtoto zaidi ya mmoja.
Nyie uchawi mazingira ya maokoto yakiwa njema mtajifanya kukataa kataa mwanzoni baada ya hapo mnawekwa ndani vizuri tu tena brand new