Wanawake hivi na nyinyi mkikuta mwanaume ana mtoto mnakataa kuolewa naye?? 🤔🤔

Wanawake hivi na nyinyi mkikuta mwanaume ana mtoto mnakataa kuolewa naye?? 🤔🤔

Habari ndugu wanajf?

Kuna mjadala uaendelea humu JF kuhusu single maza, wanaume kwa pamoja tumekubaliana HATUOI single maza.

Turudi kwenu wanawake, hivi na nyinyi mkikuta mwanaume ana mtoto mnakataa kuolewa naye?? 🤔🤔
Pesa ndio kila kitu kwa mwanamke. Mwanamke anaaacha ndoa aende kuwa hawara wa mtu kisa hela. Ishu ya mtoto kama una hela na hadhi kwenye jamii hakuna mwanamke atakuwa na pingamizi.
 
Habari ndugu wanajf?

Kuna mjadala uaendelea humu JF kuhusu single maza, wanaume kwa pamoja tumekubaliana HATUOI single maza.

Turudi kwenu wanawake, hivi na nyinyi mkikuta mwanaume ana mtoto mnakataa kuolewa naye?? 🤔🤔
Binafsi nangalia zaidi msimamo wa mwanaume ukoje.

Kuna baadhi ya wanaume wanakera, unakuta kashaachana na baby mama wake ila bado wanapasha kiporo.
Kwa kisingizio cha "eti tunalea mtoto"
 
Inahitaji kujiandaa kisaikolojia haswaa na uombe Mungu ukutane na baby mama mstaarabu..ukikuta ana mdomo kama mwaJ ndala ndefu..ukute mshirikina...yani ndoa yako haitakua na amani abadaniii kwa upande wa mwanmke muolewaji..maana mtoto atajazwa maneno huyo na mama ake balaa..kikubwa ukutane na mama mstaarabu kinyume na hapo ni fire....

Naongea kwa sbb nimeyaona..watoto wa nje walifikia hatua ya kumpiga mama mpya wa ndoa...
 
Binafsi nangalia zaidi msimamo wa mwanaume ukoje.

Kuna baadhi ya wanaume wanakera, unakuta kashaachana na baby mama wake ila bado wanapasha kiporo.
Kwa kisingizio cha "eti tunalea mtoto"
Kwani nikipasha kiporo wewe unapoteza sifa ya kuwa mke wa ndoa?
 
Binafsi nilishakataa zaidi ya mara 10. Nilikua mtu akiniambia nina mtoto/watoto najifanya sijashtuka, ila baada ya muda natoka nduki. Wala sikuwa najua sababu ya kufanya hivyo.

Nikiletewa katikati ya ndoa nitajua cha kufanya, na probably mtoto ataenda kulelewa na mama yake.

I said, what i said and i own it!
 
Back
Top Bottom