Kitu usichokijua.
Mwanamke huwa ngumu kumsahau mwanaume aliyefanya naye mapenzi.
Lakini ni rahisi kwa mwanaume kumsahau mwanamke aliyefanya naye mapenzi.
Hii ni kwa sababu mwanamke anapenda kwanza halafu ndiyo anasex, wakati mwanaume ansex kwanza halafu ndiyo apende.
Mwanaume anaweza kulala na mwanamke bila kuwa na malengo naye.
Halafu mwanamke anapenda mwanaume anayeshindaniwa wakati mwanaume anapenda mwanamke asiyeshindaniwa.
Kwahiyo ni rahisi mwanamke kuoana na mwanaume mwenye mtoto kuliko mwanaume kuoana na mwanamke mwenye mtoto.
Mkuu ulichoongea ni sahihi, ila sio kwa wanawake wa sikuizi, labda mama zetu waliozaliwa 60s and 70s
Wanawake wa sikuiz wanafanya mapenzi na wanaume wengi sana, kukusahau ni jambo la kawaida kwake, kwanza ukionesha nia ya kugandana anakushangaa, anakuona una pigo za kizamani.
Wanawake wa sikuiz wanafanya mapenzi na wanaume wengi sana bila kuwa na malengo, unakutana nae leo kesho kutwa unapiga.
Wanawake wa sikuiz hawajui dhamani ya uchi wao, hawajui hata thamani ya penzi lao, wanagawa uchi kwa kila ampendaye, na kila akifanya hivo dhamani yao inazidi kupungua, lakini hawajali.
Zamani tuliambiwa mwanamke ukimtoa kibra hakusahau, lakini ni uongo mkubwa sana, mimi nilishawahi kuwahoji wanawake watatu wote wakasema hawakumbuki walitolewaje bikra na hata hawamkumbuki mhusika.
Yaan kiufupi sikuiz wanawake wamechukua tabia yetu wanaume ya kupenda kuwa katika mahusiano na multiple partners na kupenda kufanya nao mapenzi.
Nadhani Sikuiz hakuna utofauti wa kitabia kati ya mwanaume na mwanamke.