Wanawake hivi na nyinyi mkikuta mwanaume ana mtoto mnakataa kuolewa naye?? πŸ€”πŸ€”

Binafsi nangalia zaidi msimamo wa mwanaume ukoje.

Kuna baadhi ya wanaume wanakera, unakuta kashaachana na baby mama wake ila bado wanapasha kiporo.
Kwa kisingizio cha "eti tunalea mtoto"
Kama unahofia hilo ni bora ukakataa Ndoa na Single Father.

Mwanaume akitoa matunzo kwa mtoto vizuri, basi kuna asilimia nyingi kiporo kupashwa.

Tafuta Fresh Mwenzako, ili mambo yasiwe mengi Mkuu.
 
Hmmmm unajua au basi nimesahau 😹😹
 
Habari ndugu wanajf?

Kuna mjadala uaendelea humu JF kuhusu single maza, wanaume kwa pamoja tumekubaliana HATUOI single maza.

Turudi kwenu wanawake, hivi na nyinyi mkikuta mwanaume ana mtoto mnakataa kuolewa naye?? [emoji848][emoji848]
Wangekua wanakataa kusingle kuwa na mama wa kambo.
 
Ili mradi tunapendana aah watoto haina shida, ila tu chonde mama zao sitaki mazoea sana na huyo mume, kama ni issue za watoto basi iwe ni short and clear πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…