Wanawake hivi na nyinyi mkikuta mwanaume ana mtoto mnakataa kuolewa naye?? 🤔🤔

Wanawake hivi na nyinyi mkikuta mwanaume ana mtoto mnakataa kuolewa naye?? 🤔🤔

Binafsi nangalia zaidi msimamo wa mwanaume ukoje.

Kuna baadhi ya wanaume wanakera, unakuta kashaachana na baby mama wake ila bado wanapasha kiporo.
Kwa kisingizio cha "eti tunalea mtoto"
Kama unahofia hilo ni bora ukakataa Ndoa na Single Father.

Mwanaume akitoa matunzo kwa mtoto vizuri, basi kuna asilimia nyingi kiporo kupashwa.

Tafuta Fresh Mwenzako, ili mambo yasiwe mengi Mkuu.
 
Mwanaume ukikutana na mwanamke ana mtoto au watoto ukimuoa na kuishi nae jua hao watoto ni sehemu ya majukumu na wajibu wako wa malezi. Mwanamke hata wajibika kulipia hata mia kwa hao watoto utatakiwa kuwalea kama watoto wako.

Upande wa pili, wanaume sisi tukiwa na watoto tunazo option, tunaweza acha mtoto kwa bibi yake yaani bibi upande wa baba au mama.

Au tunaweza kaa na mtoto kwenye nyumba zetu na mama wa kambo akalea watoto bila shida maana mzigo wa gharama tunabeba wenyewe.

So ni ngumu sana kwa mwanamke mwenye mtoto kuleta watoto waliopatikana mahusiano ya awali kwenye mahusiano mapya sababu kuna mgogoro wa kimaslahi kinyume chake inawezekana na hakuna mgogoro wa kimaslahi kwa upande wa mwanamke unless yeye awe ndie bread winner wa familia.
Hmmmm unajua au basi nimesahau 😹😹
 
Habari ndugu wanajf?

Kuna mjadala uaendelea humu JF kuhusu single maza, wanaume kwa pamoja tumekubaliana HATUOI single maza.

Turudi kwenu wanawake, hivi na nyinyi mkikuta mwanaume ana mtoto mnakataa kuolewa naye?? [emoji848][emoji848]
Wangekua wanakataa kusingle kuwa na mama wa kambo.
 
Ili mradi tunapendana aah watoto haina shida, ila tu chonde mama zao sitaki mazoea sana na huyo mume, kama ni issue za watoto basi iwe ni short and clear 🤔
 
Back
Top Bottom