Wanawake hujifanya wana mood swings na kuitumia kutesa na kupelekesha wanaume mabwege

Hakuna mwanamke shetani peke yake. Wanaume na wanawake wote ni mashetani yasiyojuana na kwa wakati wake.

Kuna wanaume na wanawake wanafanya mambo, naona na shetani anakubali kazidiwa. So stop hiyo wanawake ni mashetani. Kila mmoja ana ushetani wake na wa aina yake. Case closed.
 

Basi dada! Punguza munkari!

Ila Acha mood swings sio nzuri.
Kisaikolojia mood swings ni MATOKEO ya lack of inner peace
 
Mpaka leo bado kuna vijana mnateseka na mapenzi?
Inasikitisha sana kwa kweli.
 
Umeeleza vizuri sana. Ngoja tuongeze.

Ukiona unapotezewa Usiishie kimpa kumuacha tu yaani kumpotezea ukiamini atajirudi. Hapana, Mwambie na tena uongea kwa tone ya kuchukizwa na Hilo. Usiogope urembo wake au lah! yeye ndio anakuweka mjini. Zungumza kama mwanaume. Likifeli na Hilo basi kaka Kuna muhuni yupo hapo katulia. Na Hilo lipo nje ya uwezo wako.
 
Hii tabia ya mood swing na kujinunisha, huwa si entertain kabisa.
Mmoja alikuwa na shida zake, naongea nae kanuna nuna tu, namuuliza nini shida oooh hakuna basi tu sijisikii kuongea
Nikamwambia ukijisikia utanicheki, akahisi nitambembeleza, baada ya kama wiki kanicheki, nikamwambia niko busy nikiwa free nitamcheki tukaachana natural death.
Huwa ananiambia nakukubali ila wewe ni jeuri na hujui kubembeleza.
 
Mood swing zao hazifanyagi kazi wakiwa kazini wala mbele ya wachungaji wao. but wakifika tu kwa waume zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…