Wanawake hujifanya wana mood swings na kuitumia kutesa na kupelekesha wanaume mabwege

Mwanamke ni ghala la hisia, ukiwa kama mwanaume tafuta namna ya kuzibeba hizo hisia zake zisikukere na yeye asihisi kupotezewa! Hapo ndipo matumizi ya akili kwa mwanaume yanapoanzia.

Kabla ya kusema hapana hakikisha umelichanganua jambo kwa marefu na mapana
 

Bila kufanya mapenzi watu wataongezeka?!!KIVIPI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…