Wanawake huwa mnajisikiaje ku-Edit picha zenu kisha kuzituma kwenye mitandao ya kijamii hali ukijua siyo halisi?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
6,944
Reaction score
14,351
Kwenye mitandao ya kijamii zimejaa picha za wadada wengi ambazo si halisi!!

Mimi Nina ndg zangu wa kike kwenye ukoo ukimuona mtandaoni na picha zake halafu ukutane nae live lazima ukimbie.

Picha nyingi zimejaa filter editing za kutosha kiasi kwamba mtu anageuka kuwa mrembo wakati siyo.

Jambo hili huwezi kulikuta kwa mwanaume maridadi na anayejitambua!!


Hoja yangu ama swali langu huwa mnajisikiaje kuona mitandaoni unapicha nzuri zenye kuvutia lakini physically mwonekano wako ni mbingu na ardhi?
 
Uzi huh umenitach kabisa kuna duu mmoja anajishahua sana kwangu mara aninyambe bila sababu kuna siku nikamtonya unataka dudu inbox domo zege wewe,kwakweli nikimuona anaedit sana picha kiasi unatetereka,nilimuanfollow insta,ikabaki fb alininyamba sana ,nikagundua huyu kakolea ila editing nyingi sasa hiv nimeshangaa bonge la tako sasa najiuliza ni mchina au??!!ingawa tako analo ila sio kivile,sasahivi picha anazotoa utafikiri mjapan nifanyeje na sijawahi kumuona live mimi nipo mkoa tofauti na yeye
 
Kula chuma hicho.

Mpigie video call mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…