Wanawake huwa mnajisikiaje ku-Edit picha zenu kisha kuzituma kwenye mitandao ya kijamii hali ukijua siyo halisi?

Wanawake huwa mnajisikiaje ku-Edit picha zenu kisha kuzituma kwenye mitandao ya kijamii hali ukijua siyo halisi?

Kwani we unataka sura au mashine?
Nifunike uso na mto bhana, unakwama wapi bro 😄😄😄
Sura nayo inaleta vibe wazungu wakuje vizuri,sio wakati unagonga ukitaka kumwaga unavuta hisia za picha ya pisi kali ndio umalize.

Haifai hata ufanisi wa abdalah kichwa wazi hupungua.

Kama ubongo haujakuelewa ni shida sana,ukielewa hata kama sura ni kama ya bibi yake haina tabu
 
Kuna demu hapa mtaani huwa tunamuita Irene Mapepe huwa namuona wa kawaida sana rafiki zangu walikua wakiniambia mchumba wako yule kule anapita lazima niwaletee noma.

Sasa Irene sijui akatoa wapi smartphone siku moja nimemuona mtandaoni ni mzuri kinoma yani hadi nikamtumia meseji kumuomba msamaha maana mi ndo nilimpa jina la Irene Mapepe
Hawa viumbe ni shida sana mkuu
 
Na haya ma' filter ndio yanawachelewesha kuolewa kwasababu wanajidanganya kuwa ni wazuri na wanasoko huko mtaani wanatumia muda mwingi kuringa na kubadilisha wanaume mataokeo yake wanaume wakishaanza nao mahusiano wakiwavua nguo mara moja wanachokutana nacho plus balaa la UTI na kisamaki hswarudi tena. Au wanaanza kuwatafutia sababu.
 
And ofcourse hii tabia imesambaa mpaka kwa wanaume, kuna mshikaji nilimpiga block kwa sababu hii hii... Mtu unapost status unalamba lips huku umejiremba na filters damn!
Hao kina Mondi, RayVanny, Jux nk, wote wanatumia filter. Hao ni watu maarufu, halafu kuna wale hawana majina kama mimi nao wanatumia. Hapo nashangaa kwanini watuone sisi wanawake ndiyo tatizo. Victims and perpetrators wapo pande zote
 
Ila hamjui wanawake tunapitia magumu mangapi mpaka tunaamua kuedit picha zetu.
Mitaani hatutakiwi basi hata wa mitandaoni nao watushinde?
Hamnaga hiyo!

Ila mie nawapenda sana wanaume na ngai, hali yoyote atakayokutana nayo lazima ailambe.
Muhimu anazo sehemu za siri tu.
Utelwzi kitu muhimu sana kikubwa unyevunyevu tu😆😆
 
Hiyo dhana uliyosema ndio maana wanawake tunaendelea kutumia filters pamoja na editing.

Nina imani katika kukojoa, hata ukiwa na demu mwenye sura kama ya bibi utakojoa tu.
Upwiru ni kitu kingine bro.
Watu wanamaliza haja kwa mbuzi, itakuwa demu mwenye sura ya baba?
Wewe huwa tunakopa hisia kumbe hujui?
Yaani unaipiga huku mawazo yanamuwaza Rachel 😅😅
 
Na haya ma' filter ndio yanawachelewesha kuolewa kwasababu wanajidanganya kuwa ni wazuri na wanasoko huko mtaani wanatumia muda mwingi kuringa na kubadilisha wanaume mataokeo yake wanaume wakishaanza nao mahusiano wakiwavua nguo mara moja wanachokutana nacho plus balaa la UTI na kisamaki hswarudi tena. Au wanaanza kuwatafutia sababu.
Hii pia ni sababu mkuu. Niliwahi kutana na mdada tuliyecaht nae siku nyingi sana. Nilipomuona nilistaajabu sana.Uzuri nilimwambia
 
Hao kina Mondi, RayVanny, Jux nk, wote wanatumia filter. Hao ni watu maarufu, halafu kuna wale hawana majina kama mimi nao wanatumia. Hapo nashangaa kwanini watuone sisi wanawake ndiyo tatizo. Victims and perpetrators wapo pande zote
Mwanaume anayetumia filter au mkorogo ana ualakini mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom