Wanawake huwa mnajisikiaje ku-Edit picha zenu kisha kuzituma kwenye mitandao ya kijamii hali ukijua siyo halisi?

Wanawake huwa mnajisikiaje ku-Edit picha zenu kisha kuzituma kwenye mitandao ya kijamii hali ukijua siyo halisi?

Kwenye mitandao ya kijamii zimejaa picha za wadada wengi ambazo si halisi!!

Mimi Nina ndg zangu wa kike kwenye ukoo ukimuona mtandaoni na picha zake halafu ukutane nae live lazima ukimbie.

Picha nyingi zimejaa filter editing za kutosha kiasi kwamba mtu anageuka kuwa mrembo wakati siyo.

Jambo hili huwezi kulikuta kwa mwanaume maridadi na anayejitambua!!


Hoja yangu ama swali langu huwa mnajisikiaje kuona mitandaoni unapicha nzuri zenye kuvutia lakini physically mwonekano wako ni mbingu na ardhi?
Hamna jibu Mkuu!
 
Kuna demu hapa mtaani huwa tunamuita Irene Mapepe huwa namuona wa kawaida sana rafiki zangu walikua wakiniambia mchumba wako yule kule anapita lazima niwaletee noma.

Sasa Irene sijui akatoa wapi smartphone siku moja nimemuona mtandaoni ni mzuri kinoma yani hadi nikamtumia meseji kumuomba msamaha maana mi ndo nilimpa jina la Irene Mapepe
Anakaa wapi irine mapepe!
 
Na haya ma' filter ndio yanawachelewesha kuolewa kwasababu wanajidanganya kuwa ni wazuri na wanasoko huko mtaani wanatumia muda mwingi kuringa na kubadilisha wanaume mataokeo yake wanaume wakishaanza nao mahusiano wakiwavua nguo mara moja wanachokutana nacho plus balaa la UTI na kisamaki hswarudi tena. Au wanaanza kuwatafutia sababu.
Hili la kisamaki na uti ni janga. Unakuta sistaduu wa ukweli ila sasa ukizama nae ndani unaanza kusikia harufu za ajabu ajabu
 
Back
Top Bottom