Wanawake huwa mnajisikiaje ku-Edit picha zenu kisha kuzituma kwenye mitandao ya kijamii hali ukijua siyo halisi?

Wanawake huwa mnajisikiaje ku-Edit picha zenu kisha kuzituma kwenye mitandao ya kijamii hali ukijua siyo halisi?

Sass fb kina utofauti gani na mitandao mingine,nyie ndio huwa mnakuwaga washamba sana,kea taarifa yako kwenye wengi ndio unapata kujua vingi ,nikuambie tu nipo mitandao mingi ila kwangu fb imenipa maujuzi mengi sana mpaka kina vitu nimechambua through fb na nikagundua kina watu wapo wapo hawajui vingi vya dunia,so wewe nimegundua ni mshamba wa mitandao
Hakika umetoka facebook
 
Kuna demu hapa mtaani huwa tunamuita Irene Mapepe huwa namuona wa kawaida sana rafiki zangu walikua wakiniambia mchumba wako yule kule anapita lazima niwaletee noma.

Sasa Irene sijui akatoa wapi smartphone siku moja nimemuona mtandaoni ni mzuri kinoma yani hadi nikamtumia meseji kumuomba msamaha maana mi ndo nilimpa jina la Irene Mapepe
Ulipo muona tena kitaa akarudi kwenye uhalisia wake wa Irene mapepe 😀
 
Kwenye mitandao ya kijamii zimejaa picha za wadada wengi ambazo si halisi!!

Mimi Nina ndg zangu wa kike kwenye ukoo ukimuona mtandaoni na picha zake halafu ukutane nae live lazima ukimbie.

Picha nyingi zimejaa filter editing za kutosha kiasi kwamba mtu anageuka kuwa mrembo wakati siyo.

Jambo hili huwezi kulikuta kwa mwanaume maridadi na anayejitambua!!


Hoja yangu ama swali langu huwa w kuona amitandaoni unapicha nzuri zenye kuvutia lakini physically mwonekano wako ni mbingu na ardhi?
Ndo maana hawa ma celebrity huwa tunawaangalia sana tukikutana nao mitaani sababu tunashangaa tofauti zao na picha wanazopost
 
Back
Top Bottom