Wanawake huwa mnajisikiaje ku-Edit picha zenu kisha kuzituma kwenye mitandao ya kijamii hali ukijua siyo halisi?

Kweli we wa facebook
Sass fb kina utofauti gani na mitandao mingine,nyie ndio huwa mnakuwaga washamba sana,kea taarifa yako kwenye wengi ndio unapata kujua vingi ,nikuambie tu nipo mitandao mingi ila kwangu fb imenipa maujuzi mengi sana mpaka kina vitu nimechambua through fb na nikagundua kina watu wapo wapo hawajui vingi vya dunia,so wewe nimegundua ni mshamba wa mitandao
 
Kwenye mitandao ya kijamii zimejaa picha za wadada wengi ambazo si halisi!!

Mimi Nina ndg zangu wa kike kwenye ukoo ukimuona mtandaoni na picha zake halafu ukutane nae live lazima ukimbie.

Picha nyingi zimejaa filter editing za kutosha kiasi kwamba mtu anageuka kuwa mrembo wakati siyo.

Jambo hili huwezi kulikuta kwa mwanaume maridadi na anayejitambua!!

Hoja yangu ama swali langu huwa mnajisikiaje kuona mitandaoni unapicha nzuri zenye kuvutia lakini physically mwonekano wako ni mbingu na ardhi?
Picha ni muhimu Sanaa Sanaa 😊
 
Nature ya Binadamu hiyo.
Watu wadini wenye walichachua Picha za Jesus zilizochorwa kwenye Kitambaaa kile alichojifutia Damu..

Mambo mengi muda hautoshi.
 
Kwenye mitandao ya kijamii zimejaa picha za wadada wengi ambazo si halisi!!

Mimi Nina ndg zangu wa kike kwenye ukoo ukimuona mtandaoni na picha zake halafu ukutane nae live lazima ukimbie.

Picha nyingi zimejaa filter editing za kutosha kiasi kwamba mtu anageuka kuwa mrembo wakati siyo.

Jambo hili huwezi kulikuta kwa mwanaume maridadi na anayejitambua!!

Hoja yangu ama swali langu huwa mnajisikiaje kuona mitandaoni unapicha nzuri zenye kuvutia lakini physically mwonekano wako ni mbingu na ardhi?
Kuna njia nyingi ya ku escape reality moja wapo ni hiyo, kwa mtu makini hiyo ni lugha inayoashiria kuwa mtu huyo haaminiki ni bingwa wa ku fake.
 
Kwenye mitandao ya kijamii zimejaa picha za wadada wengi ambazo si halisi!!

Mimi Nina ndg zangu wa kike kwenye ukoo ukimuona mtandaoni na picha zake halafu ukutane nae live lazima ukimbie.

Picha nyingi zimejaa filter editing za kutosha kiasi kwamba mtu anageuka kuwa mrembo wakati siyo.

Jambo hili huwezi kulikuta kwa mwanaume maridadi na anayejitambua!!

Hoja yangu ama swali langu huwa mnajisikiaje kuona mitandaoni unapicha nzuri zenye kuvutia lakini physically mwonekano wako ni mbingu na ardhi?
Nilifuataga demu mkoa mwingine afu kufika kumuona kubababaaaake. Niligeuka. Hizi edit nyoko sana
 
Sioni ajabu ya filter kikubwa jua kuwa Hana uzuri huu au piga video call lazima tukubaliane na maboresho ya kemera na picha kwa ujumla wake
 
Back
Top Bottom