Wanawake huwa mnajisikiaje ku-Edit picha zenu kisha kuzituma kwenye mitandao ya kijamii hali ukijua siyo halisi?

Hakika umetoka facebook
 
Ulipo muona tena kitaa akarudi kwenye uhalisia wake wa Irene mapepe 😀
 
Ndo maana hawa ma celebrity huwa tunawaangalia sana tukikutana nao mitaani sababu tunashangaa tofauti zao na picha wanazopost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…