Wanawake jifunzeni kutunza siri, mnatuharibia sana. Saahizi ndoa yangu ipo matatani kuvunjika

Kuna code mwanamke akijua basi kumpata mwanaume anayemtaka ni rahisi.

Jamaa kasifiwa "mbona rafik angu akisuka siku moja . Ya pili nywele zinavurugika? Akaona kasifiwa kumbe kalengeshwa. 😊😊😊😊
 
Shaggy muhuni sana huyo jamaa . Ni kukataa mwambo mwisho. Ngoja nifanye armchair thinking ya kiwango cha juu
 
Mkuu, naamini nipo safe..

Suala kuu kwa sasa ni kuangalia tu kwa namna gani nauzima huu moto niloukoka
 
Mkuu, naamini nipo safe..

Suala kuu kwa sasa ni kuangalia tu kwa namna gani nauzima huu moto niloukoka

Mwanamke anayetumia kwa kulalia rafiki na mume ake, ni ngumu na kwa wengine sio rahisi kurudi kuwa kama mwanzo.

Si kasema muhame, mmepangisha na upo hivyo au? Kubali hilo liwe namba moja kama kwenu papangishe. Muondoe hapo au atakuwa ha humo kivyovyote na kwenda kuanza maisha yake.

Kilichomuumiza zaidi pia ni huyo rafiki feki kumringishia maisha ona lidwudu lako na uliyofanya.. Si umesema na ulionyesha kwa mke hatupati hizo round na kufanya yote..

Sali tu maana hata mkibaki mtakuwa siyo tena, vizuri mkeo ajijengee maisha yake hata u kiwepo uwe sanamu tu kwake.

Hama fasta au nenda mkaishi sehemu ulipie popoteeee

Koma kulala na mwanamke mwenye wivu kwa mkeo..
 
Chukua hiyo screen shot, ingiza kwenye Ai iambie ibadili majina iweke la mkeo na mwanaume kisha mtumie. Muulize nini hiki? Mwambie umetumiwa na huyo rafiki yake, Mwishoni mtasameheana tu.
 
Umconfuse. Mwambie umetumiwa na huyo rafiki yake baada ya kumuuliza kwanini amesema uongo, akakuambia yeye alimtishia mkeo kuwa atakuambia siri zake.

Vuruga vuruga asijue akuamini wewe au rafiki yake. Mkizeeka umwambie ukweli, au siku ukitaka kufa.
Hii nitaijaribu huenda ikafanya kazi.

Halafu kwanini uwaze mimi ndio ntakufa kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…