Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,603
- 14,183
- Thread starter
-
- #41
Sema inabidi nipunguze mkuu.. it's too much now, nitulie sasa. Nishafumaniwa mara kama tatu, hadi nilishawahi kukoswa kugongwa gari, baadae nikaja kujua jamaa alijua nammegea akataka kunifagiaMkuu, uzinzi na parapanda ni hiviView attachment 3625240
Aisee.. mtu anaweza kuamua kucheka na kukusamehe tu.. hapo utakuwa muongo mfawidhiUna miaka mingapi ? Hata ukikutwa umesimama na mwanamke unakataa unasema ni Mnazi 🤣 kama mliona mtu ni nyie me najua nilisimama na mnazi !!
Mkuu, mwambie mkeo kuwa kweli umefanya mapenzi na huyo mwanamke, lakini msisitizie kuwa mwanamke yuke anapapuchi mbaya kuliko yake (wife).Ndani pa moto mkuu
Hahaha, pole mkuu, uwe makini yasije kukukuta mabaya kuliko kifo.Sema inabidi nipunguze mkuu.. it's too much now, nitulie sasa. Nishafumaniwa mara kama tatu, hadi nilishawahi kukoswa kugongwa gari, baadae nikaja kujua jamaa alijua nammegea akataka kunifagia
Wewe ndio unazamisha kabisa jahaziMkuu, mwambie mkeo kuwa kweli umefanya mapenzi na huyo mwanamke, lakini msisitizie kuwa mwanamke yuke anapapuchi mbaya kuliko yake (wife).
Wife akisikia hivyo atajiona yeye ni mtamu na atajiona kamzidi huyo uliyefanya naye mapenzi. Wanawake wanapenda kusifiwa na wala si vinginevyo.
Wala usiendelee kumficha maana hamna jipya hapo.
Kweli mmebaki wachache, mnaokaa kwa shemejiDUUH WANAUME TUMEBAKI WACHACHE SANA
Hahaha, pole mkuu, uwe makini yasije kukukuta mabaya kuliko kifo.Sema inabidi nipunguze mkuu.. it's too much now, nitulie sasa. Nishafumaniwa mara kama tatu, hadi nilishawahi kukoswa kugongwa gari, baadae nikaja kujua jamaa alijua nammegea akataka kunifagia
Hakika mkuuHahaha, pole mkuu, uwe makini yasije kukukuta mabaya kuliko kifo.
Mkuu, mimi nimeboboa kwenye masuala ya human psychology, hivyo kile ninenacho unatakiwa ukiamini hivyo hivyo tu.Wewe ndio unazamisha kabisa jahazi
Wewe umebobea kwenye uzamishaji wa majahazi, wewe hata ukinipa code ya mkeka siifatiMkuu, mimi nimeboboa kwenye masuala ya human psychology, hivyo kile ninenacho unatakiwa ukiamini hivyo hivyo tu.
Mkuu, Unless kakukuta live, tena hata hiyo live yenyewe kama ipo namna ya kumuaminisha kuwa alichoona sio we muaminishe tu.Mkuu, mwambie mkeo kuwa kweli umefanya mapenzi na huyo mwanamke, lakini msisitizie kuwa mwanamke yuke anapapuchi mbaya kuliko yake (wife).
Wife akisikia hivyo atajiona yeye ni mtamu na atajiona kamzidi huyo uliyefanya naye mapenzi. Wanawake wanapenda kusifiwa na wala si vinginevyo.
Wala usiendelee kumficha maana hamna jipya hapo.
Ukicheza na akili ya wife mambo yatakuwa mazuri tu. Anza kumtajia madhaifu ya huyo demu uliyemla, halafu msifiea yeye.Wewe umebobea kwenye uzamishaji wa majahazi, wewe hata ukinipa code ya mkeka siifati
Vyema sana mkuu. Maana hakuna ushahidi mwingine zaidi ya SMS.Mkuu, Unless kakukuta live, tena hata hiyo live yenyewe kama ipo namna ya kumuaminisha kuwa alichoona sio we muaminishe tu.
Hayo mambo ya kukubali ukweli hayafanyi kazi kwenye hiyo jinsia. Atakupasua tu akili.
Mambo madogo madogo yatatumika kuibua hilo kosa ulilokiri na kumgombeza guts zitakuwa chini sababu you are guilt na ulishakubali.
Hapo ntazalisha malalamiko mapya mkuu.. vipi kama ningekuta hana hayo madhaifuUkicheza na akili ya wife mambo yatakuwa mazuri tu. Anza kumtajia madhaifu ya huyo demu uliyemla, halafu msifiea yeye.
Hawa wanawake ukitumia akili vizuri hawaruki.
Sasa shida ni kwamba hata ukikataa yeye anauhakika wewe umechepuka.Hapo ntazalisha malalamiko mapya mkuu.. vipi kama ningekuta hana hayo madhaifu
Dah,Nilimtafuna kila mkao, kama ni kisiki nilimng'oa kwa kila mng'oo,, mwenyewe alikubali.
Tukafanya tena kama awamu mbili baadae..
We jiandae tu kujipigia mashemeji kiulaniiii!!!!!!
Tena kama unayo kubwa na baharii unadeki bhaasi!!!!!!!!!!!
Mashemeji tunasubiri uoga wa ndoa changa uishe tuishi humo.
Ila naamini atatulia tu. Hapa bado nazugazuga kitaani natafuta gear ya kwenda kuanza nayo ili acool downSasa shida ni kwamba hata ukikataa yeye anauhakika wewe umechepuka.
Hahaha, utapusuka hutoamini.Ukicheza na akili ya wife mambo yatakuwa mazuri tu. Anza kumtajia madhaifu ya huyo demu uliyemla, halafu msifiea yeye.
Hawa wanawake ukitumia akili vizuri hawaruki.