Wanawake jifunzeni kutunza siri, mnatuharibia sana. Saahizi ndoa yangu ipo matatani kuvunjika

😂 Dah!
 
Na panaponipa wakati mgumu ni kwamba hata kama tutasettle, ile linkage kwenye maisha ya kawaida itaendelea kuwepo?
 
Reactions: Tsh
🤣🤣🤣Nimependa hapo kwenye kuwachanganya wapatanishi hii ni medani kabisa
 
Ila uliharibu sana kumla rafiki yake wewe hujui ule msemo usemao ukitaka kunya,nenda kunya kichakani mbali na sio kwenye boma?
 
Ila uliharibu sana kumla rafiki yake wewe hujui ule msemo usemao ukitaka kunya,nenda kunya kichakani mbali na sio kwenye boma?
Ni kweli mkuu, ila nilikuwa overwhelmed hadi kufikia kuangukia humo..

Kuna baadhi ya wanaume (including me) inapokuja suala la mwanamke kuleta mada za kunyanduana ni rahisi sana kufall
 
Hii nayo kali
 
Huyo mdada wakala ana lake jambo. Anataka uachane na mkeo achukuwe nafasi.

Ikiwezekana mnunue huyo dada awe shahidi wako, aseme alitengeneza uongo kumkera mkeo baada ya kuwa wamekosana
 
Na panaponipa wakati mgumu ni kwamba hata kama tutasettle, ile linkage kwenye maisha ya kawaida itaendelea kuwepo?
Wanatofautiana, kuna mwingine anabadilika moja kwa moja anaanza kuwa selfish, mwingine anaanza kucheat kwa siri, mwingine anasahau anasamehe. Wapo tofauti sana. Mwingine anazidisha mapenzi anaogopa usitoke ukanogewa huko nje. Inategemea wako yupoje. Mwingine anakuona ninja kweli, kucheat umecheat, na bado umemvuruga hata aelewi wewe ndo umecheat au ni yeye?
 
Pakitulia nitapata definition ya huyu wa kwangu. Aielewi ataangukia wapi
 
Reactions: Tsh
Omba mungu mkeo atakapo lipa kisasi akutane na mtu anayependa kutumia kondom 🤣
 
Pole sana mkuu hii midada Haina future ndyo maana haion kazi kuharibu na kutojali saiz napiga zangu nyeto tuuh kiroho safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…