😂😂Kuna watu unafiki wanauweza na ni mlokole kindakindakiWala hakujali bali ni mnafiki tu tena akiona maokoto yapo ndio kabisa anakuwa mnafiki wa kiwango Cha first class
Nawajua sana watu wa aina hiyo yaani hata ukienda Kwa watu wa nje kuwaelezea mabaya yake, hao watu wa nje ndio wanakuona wewe mbaya. Ni waigizaji wazuri sana wakiwa kanisani au nje ya nyumba yake😂😂Kuna watu unafiki wanauweza na ni mlokole kindakindaki
Hawawezi upo sahihi. Kuna tension fulani ya kuonesha umaza house ambayo sio ya lazimaWanawake wengi nimeona hawakai na wadada wa kazi kwa mda mrefu. Mimi binafsi nimekaa na mabinti wawili tu, wa kwanza alienda olewa wa sasa ninae hana hata mpango wa kuondoka na ni jembe kweli kweli. Mtu akija kwangu hawezi baini mapema yupi ni housemaid na yupi siye. Yuko responsible naishi nae km binti yangu kabisa na madogo wasipomuona kwa 20min lazima ugombane nao.
Nilichojifunza: ukiona binti yuko vizuri mpe outonomy ya kufanya shughuli zake, akikosea usilalaame muelekeze maisha yaendelee.
Sikatai kuna wengine ni vichomi ila ukimpata walau mzuri mtengeneze unavyotaka mjali muamini.
Unawajua vizuriNawajua sana watu wa aina hiyo yaani hata ukienda Kwa watu wa nje kuwaelezea mabaya yake, hao watu wa nje ndio wanakuona wewe mbaya. Ni waigizaji wazuri sana wakiwa kanisani au nje ya nyumba yake
KabisaUnawajua vizuri
Nipe namba yake PM mkuuKabisa.
Kuna baadhi ni majembe.
Mimi huyu hadi kuchukua risk ya kumtafutia kazi kwa watu nnaoheshimiana nao nilijua kabisa hatoniangusha sababu kwa siku chache nilizokua nakaa pale nyumbani nilimuona tu, kastaarabika na anajielewa, atakae muoa aisee kaula
Kwa kweli madada wanapaswa wapewe maua yao. Wazazi wengi tunafeli kuwanyanyasa madada wa kazi lkn hatuoni umuhimu wao.
Binafsi ninaishi na mdada ki ukweli namlea kama binti yangu. Licha ya mshahara namnunulia mahitaji yote ya mtoto wa kike. Na ikitokea familia yake inachangamoto basi natoa msaada.
Na mwezi uliopita nilijikusanya nikamnunulia simu ya laki mbili na nusu. Sifanya haya kwa sababu nina kipato kikuba la hasha natambua thamani yake ya kunilelea mwanangu wakati mimi sipo.
Kuna siku nilisafiri kikazi kufika usiku wa manane dogo kaanza kutapika,,,akachukua kadi ya mtoto akampeleka hospitali hapo kanipigia simu sijapokea nami simu nilikuwa nimeweka chaji. Kulipokucha ndo nikampigia akanipa taarifa hizo.
ok ok ok, kuna huyu anakaa kwa bi mkubwa, simpendi simpendi, kazi kufokea wajukuu na kuwatumatuma tu, yaani analipwa ila hata kitunguu ni mjukuu akate yeye kakalisha makalio tu, mpaka wajukuu huwa hawaentoy likizo zao kwa bibi
Yani yange yange aiponde rushwaa hapa mkuu ndo unataka kusema auHii mada wanawake hawachangii..