Wanawake jifunzeni kwa Mbunge Catherine

UWe makini kwenye cheti cha ndo. Kunakuwa na option pale
Ndoa za wake wengi au ndoa ya mke mmoja ukiona tik kwenye mke mmoja kaa ujue ww ni mchepuko tu. Ukiona tik kwenye wake wengi na upewe copy ya cheti ili kuepuka migogoro ya baadae.
sio mnafunga ndoa za maneno tu bila vigezo mwishoni mnadhalilika kama Cathe
 
Ni vyema kumuachia Mungu sasa inatosha
Wakat unamnyoshea mwinzio kidole embu tazama na ww vidole vingap vinakutazama
 
Fresh tu kwani yule mwenzie wa kuimba wanawake na maendeleo tusonge mbele si alichangiwa harusi akavaa shela mara janki hakuibuka kanisani….bunge la vimbwanga na wabunge wa matukio unategemea nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…