Wanawake jifunzeni mapishi, mnatia aibu

Eti mpk Leo mtu unamuonea aibu mwanaume kupika chakula kwake kisa et mwanaume anapika chakula kitam zaid hii kitaalam tunaitaje mliosoma cuba
 
Kumfundisha mtu ambaye anaona ufahari kula migahawani hiyo ni kazi ngumu sana,anataka apige picha chakula aweke na location unadhani Kuna jambo hapo?
 
Kumfundisha mtu ambaye anaona ufahari kula migahawani hiyo ni kazi ngumu sana,anataka apige picha chakula aweke na location unadhani Kuna jambo hapo?
🀣🀣🀣🀣✍️
 
Sii utani tuu jmn [emoji16], Ila wanajua kupka vitafunwa...

Ila esha buhetii mboga za majani alochanganya utumbo alooh.....

Em kina dada mjue kupika..
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣Mbavu zangu hoi kwa kucheka
 
Mwanamke asiyejua kupika hastahili hata dakika moja tu kwenye nyumba yangu.
 
Kwann Tena uchekee.....

Mimi napenda misosii Tena uwe mtamu
 
Wakati mnarudi nyumbani saa 4 uck
Saa ngapi mnakula hayo mapishi?
Sa mtu ushajua ratiba ya mkeo kuwa usiku ni lazima apike wali maharage nawewe ni mtu wa tungi unategemea nini, nani anapenda kurudisha chenji? πŸ˜…
 
Kumfundisha mtu ambaye anaona ufahari kula migahawani hiyo ni kazi ngumu sana,anataka apige picha chakula aweke na location unadhani Kuna jambo hapo?
Hakuna jambo apo, hakuna.!!

Tena ukute kaja na ki iPhone X chake basi ni shida tupu.!!
 
Sa mtu ushajua ratiba ya mkeo kuwa usiku ni lazima apike wali maharage nawewe ni mtu wa tungi unategemea nini, nani anapenda kurudisha chenji? [emoji28]
Ukirudii kunywa unakula ? Mimi nikishatia pombee silagii tenaa.... Labda supu Ila sio sijui wali, au ndiz no
 
Ukirudii kunywa unakula ? Mimi nikishatia pombee silagii tenaa.... Labda supu Ila sio sijui wali, au ndiz no
mimi bado bachelor ila mara mojamoja nikipata ugeni nikirudi nikakuta wali sili, iyo kwangu ni NEVER maana kitakakochofuata baada ya apo ni kutapika
 
mimi bado bachelor ila mara mojamoja nikipata ugeni nikirudi nikakuta wali sili, iyo kwangu ni NEVER maana kitakakochofuata baada ya apo ni kutapika
Yaaan nakula bfoo kunywa Ila baada ya hapo siwezii Tena ukute sio nyama.....
 
Mada za kuwadhalilisha mama na dada zetu ifike mahali zikomeshwe .. Si kila kitu akiweze vingine ni kusaidiana.. Swala la mapishi hata mwanaume anaweza kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh mkuu mbususu zote hizo za jf unazotafuna hauchoki tu πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€£.

Hapo unataka dem mwingine apagawe na comment yako umle tena wengine utuachie basi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…