Wanawake jitahidini kutoweka wazi shida zenu mapema mnapoingia kwenye penzi jipya

Hivi ingekuwa wanaume wanapata mzigo sawa sawa na gharama wanazohudumia unazani wangekuwa wanalalamika humu sana? Mzigo wanapewa kwa kupimiwa na sometime wanakosa kabisa shida ndio inaanzia hapo na ndio akili zao zimezinduka
 
Hivi ingekuwa wanaume wanapata mzigo sawa sawa na gharama wanazohudumia unazani wangekuwa wanalalamika humu sana? Mzigo wanapewa kwa kupimiwa na sometime wanakosa kabisa shida ndio inaanzia hapo na ndio akili zao zimezinduka
Jisemee tu wewe kaka..

Ila wanaume wengi siku hizi hawahudumii, si familia, si watoto wao, si wapenzi wao.
 
Ndio uombe siku ya kwanza baada ya kutongozwa?

Kwa akili zenu hizi acha tu tuendelee kuuziana na kulana kimasihala baada ya hapo kila mtu kimpango wake.
 
Hao hao wa mtaani unawakuta humu jf sema wadada wengi mnakariri Maisha kila jambo unalopitia unajumlisha watu wote
Sasa unabishana na mimi ambaye nimepata experience nao.

Huoni hata wanaume humu wanatukandia sana wanawake wa jf as if tuko tofauti na wa nje.

Ni kwamba wote tukikutana huku, kuna unafiki fulani tunafanyiana either kwa sababu we judge each other kupitia posts, comments au tunadhani utakua na wengine tu humu so ni full drama.

Pia, unaweza vutiwa na posts za mtu humu halafu akawa tofauti mkionana either kimuonekano, personality, attitude, etc.
 
😂😂😂😂😂
 
Wewe umesema ukweli ambao watu wengi wanaupinga lkn uhalisia ndio huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo wanaume wa maana na wapo wasio wa maana inategemea na bahati ya namna ulivyobet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…