Wanawake jitahidini kutoweka wazi shida zenu mapema mnapoingia kwenye penzi jipya

Ulichokiandika ndicho nilichoandika, tatizo umedandia treni kwa mbele bila kuelewa inapotokea, ukiwa na komwe uwe na akili basi sio unamiliki komwe halafu unajaza makamasi,
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila watu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚... aliyekwambia mimi natafuta ndoa nani?πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Kupitia comment yako umewaasa wadada wenzio wajitulize ili mmpate watu wa maana na umesema una mpenzi ni wazi bado unaitafuta ndoa which is totaly okay hasa kama jua linakaribia kuzama,

#Nohardfeelingstho πŸ€“πŸ€­
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani shidaa zinaimbwaa mwanzo mwishoi
 
Ulichokiandika ndicho nilichoandika, tatizo umedandia treni kwa mbele bila kuelewa inapotokea, ukiwa na komwe uwe na akili basi sio unamiliki komwe halafu unajaza makamasi,
πŸ˜‚πŸ˜‚
Asante kwa matusi ila kumbuka wewe ni mpinzani wetu maana wote (nyie lesbians) na siye (wanaume wala K) tunahangaika na akina Leejay49 ! Hivyo kwa mantiki hiyo nakusamehe. Rejea andiko lako utaona tatizo la kulamba K. Kila kiungo na dhumuni lake. Rudi njia kuu
 
Kupitia comment yako umewaasa wadada wenzio wajitulize ili mmpate watu wa maana na umesema una mpenzi ni wazi bado unaitafuta ndoa which is totaly okay hasa kama jua linakaribia kuzama,

#Nohardfeelingstho πŸ€“πŸ€­
Ila wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Kupitia comment yako umewaasa wadada wenzio wajitulize ili mmpate watu wa maana na umesema una mpenzi ni wazi bado unaitafuta ndoa which is totaly okay hasa kama jua linakaribia kuzama,

#Nohardfeelingstho πŸ€“πŸ€­
ngoja nikujibu mojamoja, kua na mpenzi haimaanishi kwamba natafuta ndoa.. and by the way am too young for marriage which means I can't compete with anyone here, just was an advice to these girls ambao walikua wanatoa povu kwa mleta mada wakati kaongea kitu cha msingi... pia mitazamo yangu na yako ni tofauti cause naona kama una chuki binafsi na wanaume hadi ukaamua kua leisbian, so pole sana maana dawa yako mimi sina kipenzi...
Am Sorry kama nimetumia maneno magumu, lengo ni kukufanya tu uache kubishana na mimi kwasababu sipo kwenye hiyo mood 😊😘
 
Kwani we gender gani? Tuanzie hapo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…