Wanawake jitahidini kutoweka wazi shida zenu mapema mnapoingia kwenye penzi jipya

Nyota njema huonekana asubuhi,yaani kama unaona burden mwanzoni yakumsaidia mwanamke au kufanya majukum yako kama mwanaume ndo kwenye hiyo ndoa utaweza?,wacha maneno yako we huna hela tafuta sana la sivyo utaacha sana wanawake kwa ubahili wako..Najua wabahili wenzio watatokwa povu mno.
Hizi akili na mawazo yenu haya mnapishana na wanaume wa maana sana,wanaotaka wake.

Kuna demu mmoja kitaa nina mwanangu ambaye ni Engineer ana safari za kumwaga na mwana sio mjanja wa wanawake lengo lake,kwa huyo binti lilikuwa kuoa.Siku ya kwanza tu baada kumpa namba ya simu demu kaomba elfu 40 jamaa katuma,usiku wake kaomba elfu 80.Jamaa akatuomba ushauri,tukamwambia aachane nae.Sasa hivi yupo kitaa anagongwa na matozi na kuachwa,tena hawampi hata mbuni.Halafu hiyo elfu 40 ni hela ndogo sana kwa mwana,kwani ni mjuavyo alikuwa na uwezo wa kumpa kila siku elfu 40.

Mke na demu wa kugonga ni tofauti, mke lazima afanyiwe vetting na kigezo kimoja wapo ni uvumilivu.

Okay acha tuendelee kuuziana na kulana kimasihala.
 
Umesema ukweli kiongozi na ninakusapoti 100%.. sema usishangae wadada wengi humu wanakutolea povu , wengi ni njaa kali( elewa neno njaa kali)
Wadada tubadilike tutakosa watu wa maana wa kuweka nao malengo kwa kuendekeza shida na mizinga ya kipuuzi puuzi..
Nipo hapa mawe na matusi ruksa😎😎
 
Daah haya mambo basi tu.
Mimi nilikuwa na mdada mmoja anapenda hela kinoma. First time kaniambia kodi imeisha nikachomoa, akanirudia kwa gia ya nimkopeshe 200k nikampa 50k. Ikapita muda nikaombwa 50k tena ila hapo pote nikigusia suala la kulana hataki. Niwe muwazi tu hio 50k nilimpa. Tangu 2020 nianze nae mahusiano sijawai kula hata shilingi 50 ya huyo dada, na sex ni one time tena kwa kupimiwa. Juzi kati ananitafuta ananiambia nimpe 150k et afanye graduation, nikakataa karudi kwa gia ya mkopo nikakataa tena.
Sijaona umuhimu wa kuwa nae kwenye mahusiano kiukweli kwa sababu kila nikiona call yake tu naona mwizi wa hela na furaha yangu. Bora niendelee kulala kama panga tu, mizinga sio fungu langu.
 
Tafuta pesa kijana[emoji36] Hivi kweli elfu 80 ni hela ya kunung'unika adi uvunje mahusiano na mtu unayesema unampenda?Je kuhudumia familia utaweza kweli ukiwa nayo maana vya kwenye familia gharama zinatiririkaga automatically mara mtoto aumwe mke ameze mswaki yaani tafrani hahaa.
Kwani 80k ndio kipimo cha kujua kama anaweza kuhudumia familia,?
 
Umesema ukweli kiongozi na ninakusapoti 100%.. sema usishangae wadada wengi humu wanakutolea povu , wengi ni njaa kali( elewa neno njaa kali)
Wadada tubadilike tutakosa watu wa maana kwa kuweka nao malengo kwa kuendekeza shida na mizinga ya kipuuzi puuzi..
Nipo hapa mawe na matusi ruksa😎😎
Mmh ni njaa TU siamini, mbona Mimi mwenyewe njaa ila sithubutigi kuomba mwanamke hela, unaweza kuta sisi wanaume tunatongoza majini tukidhani ni wadada wa kibinadamu, hii Dunia Ione TU hivi Leejay49
 
Nyota njema huonekana asubuhi,yaani kama unaona burden mwanzoni yakumsaidia mwanamke au kufanya majukum yako kama mwanaume ndo kwenye hiyo ndoa utaweza?,wacha maneno yako we huna hela tafuta sana la sivyo utaacha sana wanawake kwa ubahili wako..Najua wabahili wenzio watatokwa povu mno.
Kama huku mwanzoni binti unaonekana huna aibu na staha,vipi huko mbeleni kwenye ndoa we si ndio Malaya unayejificha kwenye uwanja wa mahusiano....kwa kigezo cha huduma,
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Umenikumbusha Kuna dada nafanya nae mishe,Sasa amekwama sanaaaa,,ana madeni yake ya kutosha na Kodi ya nyumba Imeisha yaani kifupi ana majanga,basi akaniambia Leo nimekutana na mchuchu kasema atanisadia matatizo ilibidi nianze kucheka!Ina maana ushamweleza majanga Yako yotee,?akasema ngoja nimpigie,walivyoanza maongezi namsikia dada anajibu hapana mi sitaki farajaaa,faraja hainisaidii Mimi,Mimi nahitaji pesa ,(in Chuga accents)...siku ya pili kaka alikuwa hapokei simu
Hawa ndio wanaharibu na wanaume wameshtuka
 
Umesema ukweli kiongozi na ninakusapoti 100%.. sema usishangae wadada wengi humu wanakutolea povu , wengi ni njaa kali( elewa neno njaa kali)
Wadada tubadilike tutakosa watu wa maana kwa kuweka nao malengo kwa kuendekeza shida na mizinga ya kipuuzi puuzi..
Nipo hapa mawe na matusi ruksa😎😎
Hi dear, nataka nikusahishe kama wewe ni mgeni humu, jf hua kuna ugomvi usioisha kati ya Me na Ke, ndio maana ukiona Me kaleta mada yake humu haijalishi basi Ke huicrush na Ke ni hivyo hivyo,

Kitu sijakielewa ni Ke kusapoti hiyo gender iliyokosa akili na utu, usiamini kila kinacholetwa humu, kama huyo mtoa mada unakuta mada yake ni ya kusadikika, na wengine wanapita nayo hivyo hivyo kuchangamsha genge,

Wewe kama unaitafuta ndoa kazana ila hakuna Me wa maana humu, wengi wananuka shida utosini hadi nyayoni, kwenda against your own gender hakukupi credit ya kuolewa na mwanaJF,

Thank you.
 
Una bwana au mchumba, au umeolewa? Jibu liwe fupi sana
 
Huyu Dr asisikilizwe, amechoka sana
 
Watu wa humu nawajua vizuri kipenzi,, ni kwamba tu napenda kusimamia ukweli.. na ushauri kama ni mzuri unafuatwa tu regardless nani ameleta.. and by the way am not a feminist,, nadhani hatuwezi kuwa na mitazamo sawa
 
Back
Top Bottom