Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
🤣🤣🤣Alijionea matatizo😂 alikuwa busy hakuacha kupokea makusudikali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Alijionea matatizo😂 alikuwa busy hakuacha kupokea makusudikali
😂ke akiniomba hela mapema kabisa najua huyu hatak hata kuniona🤣🤣🤣Alijionea matatizo
Nafikiri hoja hapa ni timingKwani wewe hutamani Cha mwenzio 😁☺️😁😁
Kweli Mkuu apandishe Uzi mpya muhimu sana hiiHuu ujumbe ulipaswa uwe mwanzoni kabisa mwa majibu au ufunguliwe uzi wake [emoji382][emoji375][emoji374]
Hizi akili na mawazo yenu haya mnapishana na wanaume wa maana sana,wanaotaka wake.Nyota njema huonekana asubuhi,yaani kama unaona burden mwanzoni yakumsaidia mwanamke au kufanya majukum yako kama mwanaume ndo kwenye hiyo ndoa utaweza?,wacha maneno yako we huna hela tafuta sana la sivyo utaacha sana wanawake kwa ubahili wako..Najua wabahili wenzio watatokwa povu mno.
Tulia wewe 🤨🤨😂😂😂Yaani unaingia kwenye mahusiano na mtu kwenye simu? hamjawahi kuonana hata
upuuzwe
Kwani 80k ndio kipimo cha kujua kama anaweza kuhudumia familia,?Tafuta pesa kijana[emoji36] Hivi kweli elfu 80 ni hela ya kunung'unika adi uvunje mahusiano na mtu unayesema unampenda?Je kuhudumia familia utaweza kweli ukiwa nayo maana vya kwenye familia gharama zinatiririkaga automatically mara mtoto aumwe mke ameze mswaki yaani tafrani hahaa.
Mmh ni njaa TU siamini, mbona Mimi mwenyewe njaa ila sithubutigi kuomba mwanamke hela, unaweza kuta sisi wanaume tunatongoza majini tukidhani ni wadada wa kibinadamu, hii Dunia Ione TU hivi Leejay49Umesema ukweli kiongozi na ninakusapoti 100%.. sema usishangae wadada wengi humu wanakutolea povu , wengi ni njaa kali( elewa neno njaa kali)
Wadada tubadilike tutakosa watu wa maana kwa kuweka nao malengo kwa kuendekeza shida na mizinga ya kipuuzi puuzi..
Nipo hapa mawe na matusi ruksa😎😎
Hio kioo ilipasuka baada ya kutongozwa na msela,yaani vikitu vidogo vidogo vinauwaga pointi kwa mtu ambaye hata alikua na nia ya kweliHuna hela pyeeeeeeeee!
Katafute hela uache kujiliza liza kwa elfu 80 wakati kuna vidume wenzio hiyo hutumia wenzi wao ya vocha.
Kama huku mwanzoni binti unaonekana huna aibu na staha,vipi huko mbeleni kwenye ndoa we si ndio Malaya unayejificha kwenye uwanja wa mahusiano....kwa kigezo cha huduma,Nyota njema huonekana asubuhi,yaani kama unaona burden mwanzoni yakumsaidia mwanamke au kufanya majukum yako kama mwanaume ndo kwenye hiyo ndoa utaweza?,wacha maneno yako we huna hela tafuta sana la sivyo utaacha sana wanawake kwa ubahili wako..Najua wabahili wenzio watatokwa povu mno.
Hawa ndio wanaharibu na wanaume wameshtuka🤣🤣🤣🤣🤣 Umenikumbusha Kuna dada nafanya nae mishe,Sasa amekwama sanaaaa,,ana madeni yake ya kutosha na Kodi ya nyumba Imeisha yaani kifupi ana majanga,basi akaniambia Leo nimekutana na mchuchu kasema atanisadia matatizo ilibidi nianze kucheka!Ina maana ushamweleza majanga Yako yotee,?akasema ngoja nimpigie,walivyoanza maongezi namsikia dada anajibu hapana mi sitaki farajaaa,faraja hainisaidii Mimi,Mimi nahitaji pesa ,(in Chuga accents)...siku ya pili kaka alikuwa hapokei simu
Hi dear, nataka nikusahishe kama wewe ni mgeni humu, jf hua kuna ugomvi usioisha kati ya Me na Ke, ndio maana ukiona Me kaleta mada yake humu haijalishi basi Ke huicrush na Ke ni hivyo hivyo,Umesema ukweli kiongozi na ninakusapoti 100%.. sema usishangae wadada wengi humu wanakutolea povu , wengi ni njaa kali( elewa neno njaa kali)
Wadada tubadilike tutakosa watu wa maana kwa kuweka nao malengo kwa kuendekeza shida na mizinga ya kipuuzi puuzi..
Nipo hapa mawe na matusi ruksa😎😎
Una bwana au mchumba, au umeolewa? Jibu liwe fupi sanaUmesema ukweli kiongozi na ninakusapoti 100%.. sema usishangae wadada wengi humu wanakutolea povu , wengi ni njaa kali( elewa neno njaa kali)
Wadada tubadilike tutakosa watu wa maana kwa kuweka nao malengo kwa kuendekeza shida na mizinga ya kipuuzi puuzi..
Nipo hapa mawe na matusi ruksa😎😎
Dada angu nakuelewa sana, wanakuchokoza wenyewe ukiwajibu wanasema wewe mkorofi,Ungeanza kumwambia huyo choko mwenzio kabla hujaja kwangu
Huyu Dr asisikilizwe, amechoka sanaHi dear, nataka nikusahishe kama wewe ni mgeni humu, jf hua kuna ugomvi usioisha kati ya Me na Ke, ndio maana ukiona Me kaleta mada yake humu haijalishi basi Ke huicrush na Ke ni hivyo hivyo,
Kitu sijakielewa ni Ke kusapoti hiyo gender iliyokosa akili na utu, usiamini kila kinacholetwa humu, kama huyo mtoa mada unakuta mada yake ni ya kusadikika, na wengine wanapita nayo hivyo hivyo kuchangamsha genge,
Wewe kama unaitafuta ndoa kazana ila hakuna Me wa maana humu, wengi wananuka shida utosini hadi nyayoni, kwenda against your own gender hakukupi credit ya kuolewa na mwanaJF,
Thank you.
Watu wa humu nawajua vizuri kipenzi,, ni kwamba tu napenda kusimamia ukweli.. na ushauri kama ni mzuri unafuatwa tu regardless nani ameleta.. and by the way am not a feminist,, nadhani hatuwezi kuwa na mitazamo sawaHi dear, nataka nikusahishe kama wewe ni mgeni humu, jf hua kuna ugomvi usioisha kati ya Me na Ke, ndio maana ukiona Me kaleta mada yake humu haijalishi basi Ke huicrush na Ke ni hivyo hivyo,
Kitu sijakielewa ni Ke kusapoti hiyo gender iliyokosa akili na utu, usiamini kila kinacholetwa humu, kama huyo mtoa mada unakuta mada yake ni ya kusadikika, na wengine wanapita nayo hivyo hivyo kuchangamsha genge,
Wewe kama unaitafuta ndoa kazana ila hakuna Me wa maana humu, wengi wananuka shida utosini hadi nyayoni, kwenda against your own gender hakukupi credit ya kuolewa na mwanaJF,
Thank you.