Hi dear, nataka nikusahishe kama wewe ni mgeni humu, jf hua kuna ugomvi usioisha kati ya Me na Ke, ndio maana ukiona Me kaleta mada yake humu haijalishi basi Ke huicrush na Ke ni hivyo hivyo,
Kitu sijakielewa ni Ke kusapoti hiyo gender iliyokosa akili na utu, usiamini kila kinacholetwa humu, kama huyo mtoa mada unakuta mada yake ni ya kusadikika, na wengine wanapita nayo hivyo hivyo kuchangamsha genge,
Wewe kama unaitafuta ndoa kazana ila hakuna Me wa maana humu, wengi wananuka shida utosini hadi nyayoni, kwenda against your own gender hakukupi credit ya kuolewa na mwanaJF,
Thank you.