Wanawake jitahidini sana kuficha 'Hobbies' zenu kwani zingine zinatutisha Wanaume na mtakosa Waume wa Kuwaoa kisha mumlaumu tu Maulana

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuna Mwanamke nimempenda sana na Kutamani hadi aje kuwa Mke wangu ila nimemkuta mahala tena akibishana na Wanaume kuhusu Mabondia akina Twaha Kiduku na Dula Mbabe huku akizielezea vyema tu Ngumi na Upigaji wake GENTAMYCINE nikasema nikiwa nae Kimahusiano uhakika wa ama Mimi Kutolewa Meno, Koromelo na Bandama kwa Kipigo chake Kitakatifu ( cha Kishalubela ) au kuwahishwa Mochwari nikiwa nimeiaga dunia upo karibu mno.

Nimeamua ghafla 'Kusitisha' kumhitaji.
 
Mimi mdada yoyote anaejua mpira na magari kuliko mimi simtaki. Kuna siku nimekaa na kadada kamoja nikawa nawaza nikaombe namba, ikapita subaru acha kaanze kuichambua kuanzia injini, mfumo wa gearbox, ulaji mafuta, horsepower, rim zake mpaka na tairi low profile ni saizi gani...! By the time kanamaliza nikaaga na kuondoka zangu hata namba sikuomba tena.

Inferiority complex inakusumbua na haujiamini mkuu, wewe watafte kina mwajuma ndala ndefu
 
Preference nyingine ni stereotypes tu and wrong assumptions, hafu hamna binadamu asiyependa hela regardless of gender
Zina mantiki lakini. Ivi we Cariha mfano ukutane na mwanaume anajua mambo ya urembo kuliko wewe, utajisikiaje kuwa nae? Na sio kwamba ni profession yake hapana, ni anajua tu.
 
Ukimkataa mwanamke kisa kigezo hicho sio sahihi maana kila mtu ana haki ya kufanya vitu anavyovipenda ...

Muache mtu afanye ile roho inavyotaka
It's a free world , YOLO .
 
Back
Top Bottom