Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,214
Hahaaa [emoji1787]Thubutu acha Kunichuza nikafumuliwe!
Tena atakupa mahaba ya dhati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa [emoji1787]Thubutu acha Kunichuza nikafumuliwe!
tatizo wenzako wakishajiona wajuaji sana hata zile haiba za kike kwa baadhi yao zinapunguaHisia zako tu kujua mambo ni udadisi tu vile watanzania wengi wavivu wa kusoma vitabu basi ni waoga
Utakuwa we ni lege lege aseeMimi mdada yoyote anaejua mpira na magari kuliko mimi simtaki. Kuna siku nimekaa na kadada kamoja nikawa nawaza nikaombe namba, ikapita subaru acha kaanze kuichambua kuanzia injini, mfumo wa gearbox, ulaji mafuta, horsepower, rim zake mpaka na tairi low profile ni saizi gani...! By the time kanamaliza nikaaga na kuondoka zangu hata namba sikuomba tena.
Unajua kwamba malezi yetu sasa hayabagui watoto? Wote tunakwenda shule zile zile. Tunafanya mambo yale yale ya jamii. Tofauti yetu ni jinsia tu. Kwanini sasa wanawake wasijue tunachojua wanaume?Kuna Mwanamke nimempenda sana na Kutamani hadi aje kuwa Mke wangu ila nimemkuta mahala tena akibishana na Wanaume kuhusu Mabondia akina Twaha Kiduku na Dula Mbabe huku akizielezea vyema tu Ngumi na Upigaji wake GENTAMYCINE nikasema nikiwa nae Kimahusiano uhakika wa ama Mimi Kutolewa Meno, Koromelo na Bandama kwa Kipigo chake Kitakatifu ( cha Kishalubela ) au kuwahishwa Mochwari nikiwa nimeiaga dunia upo karibu mno.
Nimeamua ghafla 'Kusitisha' kumhitaji.
Umri pia umesogea mkuu..Utakuwa we ni lege lege asee
Vitu vya kawaidaKuna Mwanamke nimempenda sana na Kutamani hadi aje kuwa Mke wangu ila nimemkuta mahala tena akibishana na Wanaume kuhusu Mabondia akina Twaha Kiduku na Dula Mbabe huku akizielezea vyema tu Ngumi na Upigaji wake GENTAMYCINE nikasema nikiwa nae Kimahusiano uhakika wa ama Mimi Kutolewa Meno, Koromelo na Bandama kwa Kipigo chake Kitakatifu ( cha Kishalubela ) au kuwahishwa Mochwari nikiwa nimeiaga dunia upo karibu mno.
Nimeamua ghafla 'Kusitisha' kumhitaji.
🤣🤣🤣🤣Dhaifu mkubwa wewe, hiyo avatara badilisha. Hovyo kabisa vijana wa siku hizi, sasa akifuatilia ndondi wewe inakuhusu nini? Si hobby yake au? Wewe anakuzuia nani kufuatilia mpira? Kisepe wewe
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Umeona eenhh?!!!,Mimi napenda vyuma vilivyoshindikana.Inferiority complex inakusumbua na haujiamini mkuu, wewe watafte kina mwajuma ndala ndefu