Wanawake jitahidini sana kuficha 'Hobbies' zenu kwani zingine zinatutisha Wanaume na mtakosa Waume wa Kuwaoa kisha mumlaumu tu Maulana

Wanawake jitahidini sana kuficha 'Hobbies' zenu kwani zingine zinatutisha Wanaume na mtakosa Waume wa Kuwaoa kisha mumlaumu tu Maulana

Hisia zako tu kujua mambo ni udadisi tu vile watanzania wengi wavivu wa kusoma vitabu basi ni waoga
tatizo wenzako wakishajiona wajuaji sana hata zile haiba za kike kwa baadhi yao zinapungua
kiasili mwanamke ni kiumbe ambae anatakiwa ajishushe mbele ya mwanaume, na bado hadhi na heshima yake itabaki palepale mbele ya mwanaume mwenye uelewa.
 
Bora wewe mzee mi nliscroll insta ilikua imewekwa hii picha akaanza kuncheka, kumbe alikua kashamjuacmtu wa 4, ndo nkajua nimepigwa
IMG_8820.png
 
Genta huyo ndio mzuri anafaa sana....oa kabisa...
Kuliko kupata wala wakata nyonga na kutingisha matako wakiwa wameshika magoti...
 
Mimi mdada yoyote anaejua mpira na magari kuliko mimi simtaki. Kuna siku nimekaa na kadada kamoja nikawa nawaza nikaombe namba, ikapita subaru acha kaanze kuichambua kuanzia injini, mfumo wa gearbox, ulaji mafuta, horsepower, rim zake mpaka na tairi low profile ni saizi gani...! By the time kanamaliza nikaaga na kuondoka zangu hata namba sikuomba tena.
Utakuwa we ni lege lege asee
 
Kuna Mwanamke nimempenda sana na Kutamani hadi aje kuwa Mke wangu ila nimemkuta mahala tena akibishana na Wanaume kuhusu Mabondia akina Twaha Kiduku na Dula Mbabe huku akizielezea vyema tu Ngumi na Upigaji wake GENTAMYCINE nikasema nikiwa nae Kimahusiano uhakika wa ama Mimi Kutolewa Meno, Koromelo na Bandama kwa Kipigo chake Kitakatifu ( cha Kishalubela ) au kuwahishwa Mochwari nikiwa nimeiaga dunia upo karibu mno.

Nimeamua ghafla 'Kusitisha' kumhitaji.
Unajua kwamba malezi yetu sasa hayabagui watoto? Wote tunakwenda shule zile zile. Tunafanya mambo yale yale ya jamii. Tofauti yetu ni jinsia tu. Kwanini sasa wanawake wasijue tunachojua wanaume?
 
Kuna Mwanamke nimempenda sana na Kutamani hadi aje kuwa Mke wangu ila nimemkuta mahala tena akibishana na Wanaume kuhusu Mabondia akina Twaha Kiduku na Dula Mbabe huku akizielezea vyema tu Ngumi na Upigaji wake GENTAMYCINE nikasema nikiwa nae Kimahusiano uhakika wa ama Mimi Kutolewa Meno, Koromelo na Bandama kwa Kipigo chake Kitakatifu ( cha Kishalubela ) au kuwahishwa Mochwari nikiwa nimeiaga dunia upo karibu mno.

Nimeamua ghafla 'Kusitisha' kumhitaji.
Vitu vya kawaida
 
Back
Top Bottom