Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Nipe namba yake faster ili nijimilikishe. Nitambadili mtazamo mara moja kwa kumpa stori za namna timu ya Yanga inavyo angusha kichapo kwa kila timu inayo kutana nayo msimu huu.Kuna Mwanamke nimempenda sana na Kutamani hadi aje kuwa Mke wangu ila nimemkuta mahala tena akibishana na Wanaume kuhusu Mabondia akina Twaha Kiduku na Dula Mbabe huku akizielezea vyema tu Ngumi na Upigaji wake GENTAMYCINE nikasema nikiwa nae Kimahusiano uhakika wa ama Mimi Kutolewa Meno, Koromelo na Bandama kwa Kipigo chake Kitakatifu ( cha Kishalubela ) au kuwahishwa Mochwari nikiwa nimeiaga dunia upo karibu mno.
Nimeamua ghafla 'Kusitisha' kumhitaji.
Hizo stori za akina Kiduku ataachana nazo kabisa.